Manchester United Watapewa Andre Silva Kutoka Eintracht Frankfurt’
Manchester wanatarajia kumfukuzia mshambuliaji wa Eintracht Frankfurt Andre Silva msimu huu wa joto ikiwa Edinson Cavani hataongeza muda wake wa kukaa pale Old Trafford, kwa mujibu wa ripoti.
Cavani amekuwa akifanya vizuri sana kwa muda mfupi aliokuwepo huko Old Trafford na mkataba wake una chaguo la kuongeza mwaka mwingine.
Taarifa zinaonesha kuwa mpango wa United ni kumbakiza na Mashetani Wekundu na kuendelea kuwa naye kwenye vitabu vyao kwa kampeni ya 2021-22 licha ya na umri wake na kuumia kwa hivi karibuni.
MAshetani wekundu wanatarajiwa kuwa wataingia sokoni kwa ajili ya nyota huyo mpya msimu huu wa joto bila kujali, wakati Erling Braut Haaland akihusishwa na dili la mabadilishano la kwenda upande Manchester.
BusttheBank ni sloti inayokupa Mkwanja wa kutosha. Ndio, hii ni sloti inayokupa faida ya hadi mara kibao ya dau lako. Ni Meridianbettz pekee utakapoweza kupata burudani hii.
Asante kwa taarifa
Kijana Yuko vizuri
Habari njema
Jambo zuri
Anafaa pia
Nice
Habari nzuri
Vizuri