Wakala wa Matthijs de Ligt, Mino Raiola amethibitisha kuwa mteja wake anatamani sana kuondoka Juventus na kupata changamoto mpya msimu ujao.
Juventus walimpata nyota huyo wa Uholanzi mwaka wa 2019, na tangu wakati huo ameichezea klabu hiyo mara 94 katika mashindano yote.
Wakala wa De Ligt amethibitisha kuwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 yuko tayari kwa hatua mpya, na akafichua kuwa huenda mpango kuelekea Ligi ya Premia uko kwenye ajenda.

Chelsea, Manchester City, Manchester United na Tottenham Hotspur wote wametajwa kuwa na nia ya huduma ya De Ligt, lakini Raiola pia alithibitisha kwamba Barcelona, Real Madrid na Paris Saint-Germain pia wanaweza kuwa kwenye kinyang’anyiro hicho.
“Nadhani sote tunajua ni vilabu vipi tunaweza kutaja kwa Matthijs de Ligt kama hatua ijayo. Tutaona msimu huu wa joto, Premier League? Inaweza kuwa Barcelona pia, au Real Madrid au Paris Saint-Germain.”
Nani hapendi kuwa bingwa na kujishindia mkwanja wa kusahato kuelekea katika sikukuu wiki hii. Mchezo wa Ocean Call kutoka kasino maridhawa za meridianbettz unakupa kila sababu ya kuifanya siku kuu yako kuwa ya kuvutia zaidi.


