Maamuzi Kutolewa Kuahirisha EPL!

Vilabu vya Ligi Kuu Uingereza – EPL, vinatarajia kufanya maamuzi leo ya kuahirisha mechi kuanzia tarehe 28 hadi 30 kutokana na kusambaa kwa aina mpya ya kirusi cha Corona -Omicron COVID.

Jumatatu, vilabu vya EPL vinakutana na kufanya majadiliano kama kuna ulazima wa kuchukua maamuzi ya kuahirisha mechi katika kipindi cha aina mpya ya virusi vya corona.

EPL

Kwa mujibu wa The Athletic, wiki ya mechi ya 20, yenye mechi za kuanzia tarehe 28 hadi 30 inatajwa kuathirika na mpango huo.

Baada ya majadiliano, maamuzi ya kuahirisha mechi yanatarajiwa kuwekwa wazi Jumatatu mchana.

Baadhi ya mechi zimeahirishwa wiki iliyopita, huku Liverpoool pia wakilazimika kucheza bila wachezaji wao Virgil van Dijk, Fabinho na Thiago Alcantara ambao waliripotiwa kuwa na COVID.


uwa Bingwa Msimu Huu wa Sikukuu na Ocean Call

Nani hapendi kuwa bingwa na kujishindia mkwanja wa kusahato kuelekea katika sikukuu wiki hii. Mchezo wa Ocean Call kutoka kasino maridhawa za meridianbettz unakupa kila sababu ya kuifanya siku kuu yako kuwa ya kuvutia zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Cheza hapa

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.