Mechi 8 Kuhitimisha VPL 2020/2021 Kesho

Miongoni mwa ligi zilizochelewa sana kuisha basi ni ligi ya Tanzania bara VPL, lakini bingwa wa ligi hiyo ameshajulikana na hata zile timu zitakazowakilisha taifa kwenye michuano ya kimataifa zimeshajulikana pia.

Siku ya kesho itakuwa siku ya mwisho ya msimu wa 2020/2021, huku  viwanja nane vikiwa na mechi 8 tofauti ila zote zikichezwa majira ya saa 10 jioni.

Macho ya watu wengi katika mechi hizi za VPL zitakuwa kwenye ile kati ya Simba na Namungo, ambapo Simba wameahidi mchezo mzuri wa kufurahia ubingwa wao na Namungo wanataka kuharibu sherehe hiyo.
VPL
Msimamo unaovyoonekana kabla ya mechi za mwisho

Upande mwingine utakuwa ni kwenye mbio za kusalia VPL msimu ujao, KT Tanzania wanalazimika kushinda ili angalau kuwania nafasi ya ‘play off’ huku wakiiombea mabaya Coastal Union, lakini Mtibwa Sugar nao wanahitaji angalau alama moja muhimu ili kujihakikishia nafasi ya ‘play-off’ huku nao wakiiombea mabaya Coastal Union.

Je, nani atafanikiwa kufanya maajabu kwa siku ya kesho?


JIUNGE NA FAMILIA YA MABINGWA!

Ndio, kama bado hujajiunga na Familia ya Mabingwa ya Meridianbet, huu ndio wakati wako! Tunakupatia Bonasi ya 3,500 Tsh papo hapo kama sehemu ya ukaribisho!

Italia, Italia Bingwa Euro 2020., Meridianbet

JIUNGE SASA!

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.