Meridianbet Inawajibika kwa Jamii; Afya na Burudani!

KAMPUNI inayowajibika kwa jamii na kujali afya na utu wa wananchi, Meridianbet inataka kukuhimiza kufuata taratibu na kanuni zilizowekwa na mamlaka husika.

Sisi kama jamii ni lazima tujali afya zetu na wananchi wengine na kuonesha mshikamano kati yetu.

Tunafahamu kiasi cha msongo wa mawazo na hali ya mabadiliko katika maisha yetu, hali hii imepelekea watu wengi kutumia muda mwingi kukaa majumbani na kujitenga.

Hivyo, kwa ajili ya kufanya hali iwe rahisi katika kipindi hiki ambacho wote tupo, Meridianbet imeamua kuwapa ofa kubwa wananchi wote wa Tanzania.

Cheza michezo ya Kasino kwa gharama zetu, mizunguko ya bure, bonasi na zaidi! Tulia uburudike na michezo tunayotoa kwa sababu Meridianbet tupo kwa ajili yako. Kwa kila muamala unaoweka kwa kutumia Vodacom M-PESA, Airtel Money au TIGO Pesa, Meridianbet itakupa 5% ya bonasi moja kwa moja kwenye akaunti ya bonasi.

Hauhitaji kutoka nje ya sehemu salama uliyopo kwa sababu yetu – unayo nafasi ya kuendelea kubashiri nasi kupitia tovuti yetu kwa kutumia simu yako ya mkononi kwa programu za Android au iOS au kutumia kompyuta.

Tunahimiza wananchi wote kutii maelekezo yaliyotolewa na mamlaka husika, na kuruhusu Meridianbet kukuletea burudani nyumbani kwako, kwa kukupa fursa ya kubashiri michezo mbali mbali pamoja na michezo ya Kasino.

Kumbuka, jambo muhimu kwa sasa ni kufurahi na kuwa salama.

Unaweza kujisajili kwa kutumia promo code ya RED unapojiunga nasi.

Tunakutakia kila la heri.

45 Komentara

    Habari njema kwetu

    Jibu

    Asanten jamani #Meridianbettz

    Jibu

    Habari njema kumbe mna bonus nyingi ivyo

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Hii ni safi sana

    Jibu

    Bonas nyingi sanaa meridian

    Jibu

    Ahsanteni kwa kutujali

    Jibu

    Mimi kama mteja naipataje hiyo ofaa..mbali na kubet online

    Jibu

    Meridianbet mnajitahidi katika hizo nyanja mlizozitaja hasa kwa mjini na si vijijini ,mnatakiwa mfike mpaka vijijini.

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Mnajua kutuvuta nyinyii meridian

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Shukuran kwa online betting #meridianbettz

    Jibu

    Ni habar njema Sana thnks kwa information

    Jibu

    Ni jambo zuri sana kuwajibika kwa namba hii ili kuhakikisha mambo yanaenda sawa

    Jibu

    Hii ni habari mzuri

    Jibu

    Pongez kwenu guys

    Jibu

    mnajitahidi katika hizo nyanja mlizozitaja hasa kwa mjini na si vijijini ,mnatakiwa mfike mpaka vijijini.

    Jibu

    Habari njema kwa wateja..

    Jibu

    hii ndio kampuni inayomfanya mteja na mwananchi kiujumla kutokuwa na wasiwasi kwa kile anachokifanya, maana kama hana bando atatumia kitochi, kama ameudhika basi casino itampa faraja na kama anahasira basi kupitia meridianbet.co.tz atapata michezo mingi ambayo itamtoa stress. #meridianbet

    Jibu

    gud newz asante sana meridianbet kwa kuonyesha moyo wa kutujali wateja wenu

    Jibu

    Habari njema kutoka meridianbet tnx

    Jibu

    Mmmhhh kweli jamani hayo maneno au mnatudanganya

    Jibu

    Habarinzuri Asanteen

    Jibu

    sijaona kampuni iliyo bora kama ya meridian ina habari nzuri na mambo mengi mazuri

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Habari njema sana tunakaa nyumbani huku tunapata na burudani

    Jibu

    Habari njema kutoka meridian

    Jibu

    Hakika mmeonyesha ustawi wa jamii ndio usitawi wa kampuni. Bravo#meridianbettz

    Jibu

    Hii iko poa,km munajali afya za jamii mbali mbali.

    Jibu

    Meridian tunashukuru….

    Jibu

    jitahidini kuongeza wigo wa matangazo ili jamii iwe na ufahamu kuhusu hali ya sasa

    Jibu

    Asante meridian kwa habar njema

    Jibu

    Hongera sana meridianbet

    Jibu

    Asante Meridianbet kwa ofa hii kwenye michezo ya Casino.

    Jibu

    Ni habari njema sana tunashukuru sana meridian bet

    Jibu

    Meridianbet mpo vizuri mnajua ni jinsi gani ya kujali na kurinda afya za wateja wenu

    Jibu

    Sisi kama jamii ni lazima tujali afya zetu na wananchi wengine na kuonesha mshikamano kati yetu.#meridianbettz mnahitajika kupewa tunzo mana kila Siku mnakuja na jipya

    Jibu

    Pongezi kwenu #meridianbettz

    Jibu

    Hapa ni lazima kuwapata watu kwa wingi. Kampuni nambari moja inayojali na kuthamini wateja wao

    Jibu

    Habari njema kutoka #meridianbet

    Jibu

    Tunaona ushirikiano wetu na burdani unayotupatia wataje wenu

    Jibu

    Asanteni sana meridianbet

    Jibu

    ustawi wa jamii ndio usitawi wa kampuni. #meridianbettz

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.