Soka la SRL kwenye ligi kubwa huko Ulaya pamoja na Ligi ya Mabingwa inaendelea kuwepo hewani tena wiki hii. Kuna ligi ya Belarus Premier League nayo inajichukulia umaarufu sana. Hizi hapa ni tano bora za wiki hii. Betia hapa.
Mpira kutoka SRL: Atletico Madrid SRL v RB Leipzig SRL – Atletico Madrid SRL Anashinda
Tangu apoteze 2-0 kwa Porto kwenye Champions League mwaka 2009, Atletico walipoteza gemu mbili pekee wakiwa nyumbani kwenye mashindano haya. Atletico waliwatandika RCD Mallorca 4-1 kwenye gemu yao ya mwisho ya Simulated Reality League wakati naye Leipzig alikalishwa kwa 2-1 alipocheza na Fortuna Dusseldorf katika gemu yao ya SRL. Ingawa hawa Leipzig wameshinda gemu zao nne kati ya tano zilizopita kwenye michezo ya SRL, Atletico wanaonekana kuwa na nafasi zaidi katika gemu hii. Wapo nyumbani na hivyo ni ngumu sana kuwapiga.
Mpira kutoka SRL: Napoli SRL v SPAL SRL – Magoli Over 2.5
Gemu zote za Napoli kwenye mechi za SRL zimeishia kwa magoli Over 2.5. SPAL wameshindwa gemu zao tano zilizopita wakicheza SRL kwenye michuano ya Serie A. katika gemu zote hizi, magoli Over 2.5 yalipatikana.
Mpira kutoka SRL: Espanyol SRL v Real Madrid SRL – Real Madrid SRL Anashinda
Real Madrid hawajashinda gemu zao tano zilizopita kwenye michezo ya SRL wakati nao Espanyol wakipoteza mechi zao tatu kati ya nne walizozicheza. Hata hivyo, Los Blancos wamelitawala soka kwa hakika, watakuwa washindi wa gemu hii, wakiwa wameshinda mechi zao 14 kati ya 15 zilizopita. Kwa hivyo, wanapewa nafasi zaidi ya kushinda hapa dhidi ya hawa jamaa wengine ambao bado wapo chini kabisa ya jedwali la msimamo wa ligi.
Slutsk v BGU Minsk – Slutsk Anashinda
Katika mechi nne zilizopita kati ya wawili hawa kwenye Belarus Premier League, Slutsk wameshinda gemu mbili na kutoka sare gemu mbili dhidi ya Minsk. Wenyeji wamekalia kilele cha msimamo wa ligi baada ya gemu saba wakati nao Minsk wakiwa kwenye namba nne. Slutsk hawajapigwa katika gemu zao tano zilizopita za michezo ya ligi, wameshinda nne na kutoka sare moja. Wageni wao wamepoteza gemu tatu kati ya nne walizocheza kwenye ligi.
Gorodeya v FC Minsk – Magoli Under 2.5
Timu hizi zimekuwa kwenye hatihati mbaya kwa kuwa wapo chini ya msimamo wa ligi yao wakitenganishwa kwa alama moja pekee baada ya gemu saba kwenye ligi ya nchini Belarus. Gemu zote saba za Gorodeya kwenye ligi zimekuwa na magoli mawili ama chini ya hayo mawili yaliyofungwa, mechi tatu za ugenini kwa FC Minsk kwenye ligi ya Vysshaya zimeisha kwa kupatikana jumla ya magoli Under 2.5.
Twende kazi!


SADICK
Thanks #meridian #meridianbet kuendelea kutuletea burudani na bonus kedekede
Gabriel
Shukran sana meridian kwa kuendelea kutuma matokeo mazur
elika
Meridianbet burudani kwa wote
povel
asante meridian kutupa burudani kwa kipndi hiki kigumu na kutupa bonus bwelele
hamidu
asnte sanA. NAWAKUBALI
Elika
Nashindwaje kubet meridian bet.wakati bonans zenu uinanihamasisha
Kenani
Mambo ni moto
samiah
Nawapenda sana meridian bonus njenjeeee
Asia Abdy
Very nice
Neema hassan
Mambo mazuri meridianbet pekee..
johnmary joel
wanatakiwa kuongeza bidii
Rehema Dickson
Mambo yote mazuri yako meridian bet
Aziza mushi
Asante meridian
felister
asante meridian bet kwa kutujal wateja wenu
Adelta
Pesa njenje
Furahav
Ligi ya mabingwa naikubali sana.