Je, unaikumbuka ile Kona ya haraka aliyopiga Trent Anorld katika mchezo wa marudiano ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa ulaya kati ya Liverpool na Barcelona? Unajua kuwa yule ball boy aliyempa mpira kwa haraka Trent Anorld amepata dili.
OAKLEY CANNONIER, ni jina la bwana mdogo aliyemrushia mpira wa haraka sana beki wa kulia wa Liverpool Trent Anorld katika mchezo wa marudiano ambaye aliupiga na Origi akapiga bao lililowapeleka Liverpool fainali.
Oakley ana miaka 17 tu na anacheza kama mshambuliaji lakini tayari ameshaweza kuonesha ujuzi wake katika uwanja wa Anfield akichezea timu ya vijana ya timu hiyo.
Kabla ya kutua Anfield, Oakley alikuwa akichezea Leeds United kabla ya kuonekana shujaaa na mabosi wa Liverpool kutokana na ujanja na akili yake ya haraka kugundua kuwa kulikuwa na ulazima wa yeye kumpa mpira Trent haraka.
IcyGems kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Ndio, ukiwa kwenye nyumba ya mabingwa, ndipo utakapoufurahia ubora wa Kasino ya Mtandaoni sambamba na kushinda kwa ushindi mkubwa! Ishi na hii, IcyGems!
Issa
Safi sana