Pitso Kuinoa The Pharaohs

Shirikisho la soka nchini Misri kinaangalia uwezekano wa kumpa kocha mkuu wa Al Ahly raia wa Afrika ya kusini Pitso Mosimane kibarua cha kuinoa timu ya taifa hilo.

Pitso

Shirikisho hilo linataka kumpa Pitso mkataba ambao utamfanya aendelee kuinoa Al Ahly pia timu ya taifa hilo.

Hili limekuja siku chache baada ya Pitso kushinda tuzo ya Kocha Misri kutoka kwa Sports Critics Association baada ya kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Misri

Pitso

Endapo dili hilo litatiki Pitso atakuwa kama kocha Frolentine Ibenge ambaye anakinoa kikosi cha As Vita na timu ya taifa ya Congo DR.


JILIPE KWA NAMBA ZAKO ZA BAHATI NA KENO

Kila mtu ana namba zake za bahati, Meridianbet tunatambua namba zinaweza kukufanya milionea leo. Jilipe kwa namba zako za bahati kila baada ya dakika tano.

CHEZA HAPA

3 Komentara

    Hata hivyo Pitso yupo vinzur

    Jibu

    Vzur

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.