Ralph Hasenhuttl Kustaafu Baada Ya 2024.

Kocha wa Southampton, Ralph Hasenhuttl huwenda akawambioni kutundika daluga atakapo maliza mkataba wake na klabu hiyo.

Hasenhuttl anamkataba na Saints ambao utamalizika 2024 na, kama anamaanisha anayoyasema, basi huenda ikiwa ndio kazi yake ya mwisho kama kocha kwenye ulimwengu wa soka.

Akiwa anaingoza Saints kwa takribani miaka 5 na nusu, Ralph Hasenhuttl anakiri kuiongoza klabu ndani ya EPL ni kazi kubwa inayohitaji nguvu nyingi. Kwa upande wake, hajioni akiendelea na kazi hiyo baada ya mkataba wake kuisha. Lakini, ataendelea kuipambania Southampton na kuhakikisha anaicha katika nafasi nzuri zaidi kwenye EPL ifikapo 2024.

Nitakua ninamiaka 57. Nitapendelea kufanya mambo mengine na sio kukaa kwenye benchi la ufundi tena kama Roy Hodgson (miaka 74). Hapana kwakweli.

Alisema Ralph wakati akizungumza na mwandishi wa Gazeti la Kicker.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

Acha ujumbe