Ray Illingworth Afariki Akiwa na Miaka 89.

Kapteni wa zamani wa Kriketi wa England, Ray Illingworth amepoteza maisha akiwa na miaka 89 akiwa nyumbani kwake imetaarifu timu yake ya zamani ya Yorkshire.

 

Illingworth aliiongoza England kati ya mwaka 1958 mpaka 1973 na kufunga mikimbio 1,836 ukiwa ni wastani wa 23.4 na kufanikiwa kupata wicket 122 kwa wastani wa 31.20.

Kapteni Ray Illingworth pia aliiongoza England katika mashindano ya Test Series Victory na kushinda dhidi ya Australia mwaka 1970-71.

Mauti yamemfika kapteni huyo akiwa anaudhuria kliniki ya kansa kwaajili ya kupata matibabu ya radiotherapy baada ya kugundulika na kansa ya esophageal.

Ray amekuwa kapteni wa England mara 31, na kupata ushindi mara 12 ya mechi hizo.


KUWA BINGWA MSIMU HUU WA SIKUKUU NA OCEAN CALL

Nani hapendi kuwa bingwa na kujishindia mkwanja wa kusahato kuelekea katika sikukuu wiki hii. Mchezo wa Ocean Call kutoka kasino maridhawa za meridianbettz unakupa kila sababu ya kuifanya siku kuu yako kuwa ya kuvutia zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.