Roberto Mancini na Shauku ya Kiwango cha Balotelli

Mario Balotelli ameitwa kwenye timu ya taifa ya Italia na amejiunga kwenye kambi ya timu hiyo na kocha Roberto Mancini akizungumza na leo alisema kuwa anasubiri kuona kama ataweza kuisaidia Italia kuweza kushiriki kombe la Dunia.

Roberto Mancini leo akiwa kwenye kikao alichokifanya mtandaoni alisema kuwa “nashauku ya kumuona Baloteli akiisaidia Italia kwenye michezo ya kufuzu itakayofanyika mwezi machi, nini ameniahidi? hakuna kitu.”

Kwa sasa timu ya taifa ya Italia imeweka kambi ya siku tatu jijini Adana Demirspor nchini Uturuki, pia mshambuliaji bora wa michuano ya Euro 2020, Federico Chiesa hataweza kujumuishwa pamoja na beki wa kushoto Leonardo Spinazzo.

Timu ya taifa ya Italia ili kuweza kufuzu itahitaji kushinda mchezo wake dhidi ya Macedonia kaskazini na ikiwa atashinda basi atacheza na mshindi kati ya Uturuki na Ureno mwezi machi.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe