Ronald Koeman: Ataja Kikosi cha Kuia Granada

Ronald Koeman ametaja kikosi cha wachezaji wa 20 ambacho kitawakiribisha Granada katika ligi kuu ya hispania  katika dimba la Camp Nou usiku wa leo.

Barcelona anawakaribisha Granada wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza dhidi ya Bayern Munich kwenye michuano ya klabu bingwa ulaya.

Ronald koeman

 

Kikosi kamili cha Ronald Koeman, Ter Stegen, Neto, Inaki; Dest, Mingueza, Pique, Araujo, Eric, Lenglet, Umtiti, Balde; Busquets, Gavi, de Jong, Roberto, Puig, Coutinho; Memphis, Luuk, Demir.

Squad list
Squad list

Samuel Umtiti ilisemekana hatakuwepo kikosini kutokana na majeruhi lakini atakuwepo, Riqui Puig pia nae kaingia kwenye kikosi, wachezaji wapya walio sajiriwa nao wameingia kwenye kikosi ambao ni Luuk de Jong, Eric Garcia na Memphis Depay.


FUNGA BAHATI YAKO NA MERIDIANBET.

Ni wakati wa ushindi mkubwa ukiwa na kasino bomba ya Lock a Luck, meridianbet wanakupa sababu ya ushindi, funga bahati yako ya ushindi ukiwa na mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.