Simba SC ni moja ya timu bora sana barani Afrika kwa sasa, ubora wake unatokana na maeneo mengi ndani ya kikosi na nje yaani katika benchi la ufundi na uongozi kwa ujumla.
Ndani ya kikosi cha Simba, sehemu ambayo mashabiki wa timu hii wanajivunia zaidi pengine kwenye safu ya ushambuliaji ambapo mastraika wa tatu wa timu hii wamekuwa wakionesha ubora wao kila kukicha!
Wana msimbazi wa wachezaji watatu, Meddie Kagere, John Bocco, na Chris Mugalu. Katika wachezaji hawa watatu, Mugalu ameonekana kuwa mchezaji pendwa wa kocha Gomes.
Licha ya mapenzi aliyonayo Gomes kwa Mugalu, amempa nafasi katika mechi 19 tu na amefanikiwa kufunga magoli 12 katika mechi hizo na kumfanya ashike nafasi ya tatu kwa wafungaji bora VPL, nyuma ya Dube na Bocco.
John Bocco nae anaonekana kuja kwa kasi huku akionekana kuwania kiatu cha dhahabu msimu. Kagere amekuwa akikosa namba kutokana na wakali hao wawili lakini naye sio wa kubeba kwani ana magoli 11 mpaka sasa!
Je, ni Mugalu, Dube au Bocco atakayeibuka kuwa mfungaji bora wa VPL msimu huu kutokana na ukweli kuwa Simba pekee ndiyo ambayo imebakiza michezo mingi tofauti na timu ya Azam?
IcyGems kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Ndio, ukiwa kwenye nyumba ya mabingwa, ndipo utakapoufurahia ubora wa Kasino ya Mtandaoni sambamba na kushinda kwa ushindi mkubwa! Ishi na hii, IcyGems!


Ernest
Ngoja tuone