Mchezaji wa klabu ya Manchester United Jadon Sancho ameelekea nchini Uholanzi kwajili ya kujiweka fiti kujiabdaa na muendelezo wa msimu kuanzia mwezi Disemba.

Mchezaji huyo ambaye amekosa kuitwa kwenye kikosi cha Uingereza kutokana na kutokua na kiwango bora,Hivo  amepanga kujiweka sawa ili kuweza kurudisha ubora wake ambao alikua nao katika klabu ya Borussia Dortmund.sanchoJadon Sancho amekua akipitia wakati mgumu tangu kujiunga na klabu ya Manchester United akitokea Dortmund kutokana na kutokua na ubora ambao unamfanya kupata nafasi kwenye kikosi cha kwanza kwenye timu hiyo.

Mchezaji huyo inaelezwa kua amepokea ushauri kutoka kwa kocha wake Ten haag juu ya safari yake ya kwenda nchini Uholanzi huku akiwa na msaidizi ambae atamkuta nchini huku na kumfanya kurudisha ubora wake.sanchoSancho ambaye amejiondoa kwenye mitandao ya kijamii siku za hivi karibuni akieleza anataka kua anahitaji kua karibu na familia yake, Lakini taarifa za ndani zinaeleza mchezaji huyo ameamua kuachana na mitandao ili kuepuka kejeli na matusi ambayo amekua akipokea mitandaoni kutoka kwa mashabiki wa United kutokana na kiwango chake kuporomoka.

machaguo spesho

Kombe la Dunia Linatimua Vumbi huko Qatar ni timu 32, sawa na mechi 64 zitapigwa kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wana uwanja wao wa Kushiriki na wewe wakati Michuano hii inaendelea. Uwanja wa Machaguo Spesho ni Kwa ajili yako, wewe Bingwa wa Kubeti. Unaweza kubeti ni Timu gani itachukua Ubingwa, Timu gani Itaongoza kuwa na kadi nyingi za Njano na Nyekundu, au Timu gani itatoka mapema kwenye michuano hiyo. Uamuzi ni wako. Chaguo ni lako. Hii ipo mpaka mwisho wa Kombe la Dunia.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa