Leroy Sane amesema Bayern Munich ni klabu kubwa yenye malengo makubwa baada ya kusaini kandarasi ya miaka mitano na klabu hiyo ya Bundesliga.
Winga wa Ujerumani, 24, amejiunga akitokea Manchester City kwa dao lenye thamani ya £54.8m.
Sane alijiunga na City akitokea Schalke mwaka 2016 kwa £37m na alishinda Premier League mara mbili, FA Cup na Kombe la Ligi mara mbili.

“Nahitaji kutwaa mataji mengi kadri inavyowezekana akiwa na Bayern, na Ligi ya Mabingwa kama kipaumbele kikubwa,” alisema.
Sane alikuwa na mchango mkubwa kwenye kikosi cha City kilichoshinda mataji matatu ya nyumbani msimu uliopita, lakini amekuwa nje kwa majeraha msimu huub.
Katika mechi 135 za Premier League amefunga magoli 39 na kusaidi mengine 45.


Theckla
Habari njema
Antony Luseno
Toka awali ilikuwa ishajulikana anaenda Bayern wababe wa bundesliga
Dorophina
Sane yuko vizuri naamini atafanikiwa hicho alichokisema lazima ataipandisha Bayern juu
Genia Sikaluzwe
Ni habari njema Sana hizi
Mwanahamisi
Habari njema
Lydia Emmanuel Magoti
Habari nzuri Sana hiyo
Magdalena
Habari motomoto kila la kheri kwake
Mariam mtandama
Habari mjema
isha
Habari njema
Caroline
Bayern mtumieni Sane vizuri
felister
good news
Ester jackson
Sane amepata timu mkubwa sana yenye mafanikio yenye wachezaji wanzuri ajitahidi kuendelea katika kiwango cha juu sana ukizingatia sana aliko toka bado ameweka historian ya kushinda premier ligi na FA cup hivyo anao mchango mkubwa katika mchezaji wake Bayern Munich
lombo
habar njema kizur cha jiuza
Hamidu
Pongezi b.munich …sane ni usajili mzuri sana.anategemea atafanya Mambo makubwa#meridianbettz
Revina
Bayern wamepata kifaa ! usajiri wake utakuwa wa maana sana kwa sababu anategemewa kufanya mambo makubwa
Flomena
Sane alikuwa na mchango mkubwa kwenye kikosi cha City kilichoshinda mataji matatu ya nyumbani msimu uliopita, lakini amekuwa nje kwa majeraha msimu huu.
farida ahmadi
Yuko vzr huyo dogo sane hivyo Bayern Munich watarajie Mambo mazuri kutoka kwake
Khadija
Habari njema sana kwani kizuri kinajiuza chenyewe akiwekwi kwenye minada#meridianbettz
Zeiyana
Leroy sane bado hatakumbukwa sana kwa mchango wake pale city pia hanatakiwa hajipange sana Bayern munich ni clabu kwabwa pia hinawachezaji wakubwa mwenye uwezo mkubwa kupita yeye so hanatakiwa haturie sana tunategemea matokea mazuri kwenye safari yako uwendako
Johnmary joel
Habari nzuri#meridianbett
Sylvester
Sane bonge la kiungo ambae anaweza kufanya vizuri kokote duniani hata Bayern ni klabu sahihi kwake
Shafii
Huyu sane kugoma kote kusain mkataba mpya pale etihad lengo lake kumbe lilikua kwenda kusaini Bayern Munich hii ndo asili ya wachezaji wa kijerumani kupenda Sana kucheza nchini kwao kwa niaba ya kujenga chemistry katika timu ya taifa ila kwa Bayern kuipata kandarasi ya sane ni bonge la deal
Gabriel
Hongera amerud nyumban kumalizia soka
Njiku
Sane ni mchezaji mzuri sana wachezaji wengi kipaombele chao ni kuchukua taji la kombe la mabingwa barani ulaya haswaa ndio sane kaamua kusepa klabini hapo
warda
Majelaha Tu Ndo yanamwaribia ila Sane yupo Vizuri Sana#Meridianbettz
nasra
Sane yupo vzuri sana
Zuhura omary kindamba
Hii ni Habali njema kwetu sisi mashabiki
Hope mwaikuka
Hongera kapge kaz
Issa
Bayern walikuwa wanamhitaji sana sane wamefanikiwa sana na atakuwa msaada mkubwa kwa kikosi hiko ambapo kiungo wake thiago anatarajiwa kusepa
Asia Abdy
Safii
fatumakasom
Safi yupo vizuri sana anaweza kufanya mambo mazuri kokote
Furahav
Hongera kapambane.
Samiah
Good news👌🔥
Rehema
Yuko vzuri
Isaya massawe
Ni haki kabisa maana bado kijana mdogo na anafanya vizuri sana
Saupha mohamed
Safiik…aendelee kufanya vizurii
Omary lukumbi
Safi sana pia ajisikie.fahar kucheza club ya nyumban afanye vitu vyake kuwaonesha walikua wanamuweka benchi na kumuuza walikosea sana
Latifa juma mohamed
Nice updates
David Pere
Mtoto karudi nyumbani hapo wajerumani wamekizika Sasa ili timu hao ya taifa owe na muunganiko mzur
tumaini
Maoni:safi
Amani
Sane alikuwa na mchango mkubwa kwenye kikosi cha City kilichoshinda mataji matatu ya nyumbani msimu uliopita, lakini amekuwa nje kwa majeraha msimu huu Ila Ni mchezaji mzuri sana pili vizuri kwenda kutafuta Chang’s moto nyingine#meridianbettz
Tatu
Sane anamchango mkubwa katika club yake
Povel
Duh habar njema kwa mashabik wa Bavarian (Bayern Munich) kila la kheri maisha mapya
Neema juma
Habari njema sana #meridianbet
Devotha
Habari njema
Amiri Kayera
Dogo kalud nyumbn
Sabrina
Maoni:Sane yupo vizuri
Angelina
Good update