Arsenal imefungua mazungumzo na Atletico Madrid kwa ajili ya kumsajili kiungo wao Thomas Partey, kwa mujibu wa Sky Sports Italia.
Inaaminika Arsenal wametoa chini ya kiasi cha euro million 45 ambayo ni thamani ya mkataba wa Partey. Atletico madrid wameonyesha hawako tayari kumuachia kiungo huyo kwa pesa iliyo chini ya ule wa mkataba wake.
Klabu hiyo ya hispania inaamini mchezaji huyo ataondoka katika uwanja wa Wanda Metropolitano majira haya ya kiangazi na ameonyesha nia ya kukipiga katika klabu ya Arsenal.

Tayari Atletico madrid wameanza kutafuta mbadala wa Partey,inasemekana wameulizia upatikanaji wa Idrissu Baba majira haya ya kiangazi katika klabu ya Mallorca.
Partey alisaini mkataba na Atletico madrid mwaka 2011 na kuingia katika kikosi cha kwanza mwaka 2015, toka hapo amefanikiwa kucheza michezo takribani 250 katika kikosi cha kwanza na kuwa moja ya wachezaji wa kutegemewa wa kocha Diego Simione.
Kiungo huyo jumba wa ghana amefanikiwa kufunga magoli 3 na kutoa pasi za magoli 41 katika mashindano yote msimu huu.Amekua kiungo mkabaji bora ambapo amesaidia timu yake iliyo ruhusu kufungwa magoli 24 tu katika liigi kuu ya Uhispania.
Inasemekana Arsenal wanataka kumtumia Alexander Lacazette au Matteo Guendouzi kuelekea upande wa pili ili waweze kumpata Thomas Partey.
Kocha mkuu wa arsenal Mikel Arteta anamwangalia Partey kama msaada mkubwa katika safu yake ya ulinzi na inategemewa watarudi na ofa kubwa kwaajili ya kumnasa kiungo huyo.


Johnmary joel
Ni vizuri kama wameka na kuzungumza ili timu isonge mbele#meridianbett
Hamidu
Habari njema kwa mashabiki wa arsenal
felister
habari njema kwa mashabiki wa arsenal
Magdalena
Arsenal kila kiungo mnataka kumsajili nyinyi tu loh kwamba ndo kiwango chenu kitapanda
Antony Luseno
Hope ataleta manufaa kwenye safu yake ya ulinzi
Theckla
Ni vizuri kikubwa makubaliano tu
Genia Sikaluzwe
Ni habari njema Sana kwa mashabiki wa arsenal
Dorophina
Wakubaliane wamchukue dogo yuko vzr htr
Mwanahamisi
Habari njema kwa mashabiki
Lydia Emmanuel Magoti
Habari njema kwasisi mashabiki
Mariam mtandama
Ni vizur sio mbaya
Caroline
Partey ni msaada mkubwaaa kwenye safu ya ulinzi
lombo
gud news
isha
Ni jambo jema kinachotakiwa makubaliano tuu
Ester jackson
Safii sana ndenda ukawaonyeshe wachezaji wa arsenal njia ya kupita
Flomena
Good news
Revina
Ni vizuri sana ili mradi makubaliano yaende sawa kijana afanye maajabu
Khadija
Hii ni habari njema kwa mashabiki wa Arsenal#meridianbettz
Zeiyana
Itakua vizuri sana arsenal bado kwa upande wa usajili wanatakiwa wasijili majembe kama hayo ili timu yao ipande viwango imeshuka sana
Gabriel
Kwa upande wangu Sina shaka kabisa na kiungo hiyo Thomas partey kwan tunatambua uwezo wake wa mpira Alizaliwa huko Odumase Krobo, Thomas alikuwa Mchezaji wa klabu ya Odometah FC ya vijana. Baadaye alisaini mkataba na klabu ya Atlético Madrid mwaka 2011.Tarehe 10 Machi 2013, Thomas aliitwa katika kikosi cha kwanza cha Atlético Madrid katika mechi dhidi ya Real Sociedad.
Mnamo tarehe 12 Julai, Thomas alisajiliwa katika klabu ya kwa RCD Mallorca kwa mkopo, Mnamo 18 Agosti alicheza mechi yake ya kwanza,ambayo walifungwa goli 4-0 dhidi ya CE Sabadell FC
Tarehe 27 Julai 2014 Thomas alijiunga na La Liga huko Hispania katika klabu ya UD Almería. Alicheza mechi ya kwanza katika mashindano 23 Agosti mechi dhidi ya RCD Espanyol na kutoka sare ya goli 1-1.
Atletico Madrid
Alichezea timu yake ya kwanza kwa mara nyingine Atletico tarehe 28 Novemba 2015, katika mechi ambayo walipata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Espanyol.
Mnamo 2 Januari mwaka uliofuata aliisaidia klabu yake katika mechi dhidi ya Levante UD. Mnamo tarehe 28 Mei, Thomas alicheza katika Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA dhidi ya Real Madrid.
Hivyo n mchezaji mzur sana
Njiku
Tatizo pesa yao arsenal ndogo wabaili sana mchawi hela watoe hela wamnase kiungo huyo
Shafii
Thomas partey ni bonge La kiungo arsenal wakimaliza makubaliano nae na kutua kwa washika bunduki hao watakua wamesaji jembe na mpambanaji ndo utakua msimu ambao wamefanya deal zuri
Ernest
Nadhani Partey atawasaidia sana Arsenal
warda
Huyu Jamaa Ni Bonge La kiungo#Meridianbettz
Hope mwaikuka
Habar njema sana
Issa
Arsenal inabidi wafanye ushawishi mkubwa kwa simeone kumtwaa kiungo huyo ambae
Asia Abdy
Tunategemea atakua na mchango kwa Arsenal
Sadick
Thomas Partey anaweza kuwasaidia Arsenal sehemu ya kiungo. Wanatakiwa kusajiri Mabeki#meridianbettz
Tahiya
Ni matumaini yetu mashabiki kuwa ataleta mabadiliko
Rehema
Safii
Furahav
Thomas jeshi,anakaba hadi kivuli.
Salma
Kikubwa makubaliano tu
Saupha mohamed
Habari njema
Omary lukumbi
Arsenal waongeze pesa wapate vitu vizr ila ni utamaduni wao kununua wachezaj kwa pesa ndogo sana kwa sasa dunia imebadilika kama wanataka kuijenga arsenal iwe tishio basi wafungue mzigo wa kutosha kwenye usajili sio ubahili wao
David Pere
Watoe pesa ili kojana aungane nao awapatie makombe
Povel
Ni habar njema kwa mashabik wa gunners Kama watafikiah makubaliano
Neema juma
Kikubwa makubaliano tu
Samiah
Kikubwa masikilizano
Devotha
Habari njema kwa mashabiki wa arsenal
Amiri Kayera
Arsenal ivunje bank
Angelina
Goodnews kwa mashabiki wa arsenal
Sabrina
Maoni:Arsenal waache uchumi watoe pesa wafikie makubaliano
farida ahmadi
Habari njema Sana kwa mashabiki