Siioni Liverpool Nne Bora EPL - Jamie Carragher

Mchezaji wa zamani wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Jamie Carragher amesema kuwa kikosi cha Liverpool kinachonolewa na Jurgen Klopp hakitamaliza ndani ya nafasi nne za juu msimu huu wa 2020/21 kwenye Ligi Kuu England.

Mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu England wamekuwa kwenye mwendo wa kusuasa msimu huu jambo ambalo linatokana na wachezaji wake wengi muhimu kusumbuliwa na majeraha.

Mchezaji huyo wa zamani wa kikosi hicho cha Liverpool amesema kuwa bado anaona kuna gepu kubwa ambalo timu hiyo imeachwa jambo litakalowafanya washindwe kumaliza wakiwa ndani ya nafasi nne za juu.

Ikiwa imecheza jumla ya mechi 29 ipo nafasi ya 6 na pointi zake ni 46, imeachwa kwa tofauti ya pointi 25 na vinara ambao ni Manchester City wakiwa na pointi 71 baada ya kucheza mechi 30.

Carragher amesema:“Bado kuna gepu kubwa ipo ila kwa sasa siamini kama Liverpool itaingia kwenye nne bora,”.


Maana Kamili ya Ushindi Katika Kasino za Meridianbeti ni Pamoja na Mchezo wa Tropical Wild.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Tropical Wild na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

CHEZA HAPA

10 Komentara

    Duuh sipoa

    Jibu

    Duuh

    Jibu

    Ayo siyo maneno

    Jibu

    Hayo maneno tu jamie hana jipya

    Jibu

    Duu nomaaa hii

    Jibu

    Mmmh kazi ipo

    Jibu

    Ngoja tusubiri matokeo

    Jibu

    Sio poa

    Jibu

    Aisee

    Jibu

    Hawa Liverpool wamelewa sana sifa

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.