Huu ni msimu ambao historia zimeanza kuwekwa na zingine kuvunjwa ikiwa bado ni mapema sana kunako EPL. Southampton wameweka historia yao kwenye EPL msimu huu.
Ushindi dhidi ya Newcastle United, unawafanya Southampton kuongoza msimamo wa Ligi ya EPL kwa sasa. Hii ni mara ya kwanza kwa klabu hii kushika nafasi hiyo tangu mwaka 1988.
Magoli ya Che Adams na Armstrong, yalitosha kuipatia ushindi Southampton ikiwa ni mwaka 1 umepita tangu walipofungwa 9-0 na Leicester. Kipigo kile kilihatarisha kibarua cha kocha wa timu hiyo – Ralph Hasenhuttl .
“Mashabiki wetu wataipenda hii na wataupiga picha msimamo wa ligi. Kwa upande wetu ni kitu kizuri lakini sio sababu ya kutoendelea kutafuta ushindi. Tunapaswa kuamini kila kitu kinawezekana kwa kutumia timu hii hii.
“Ninajivunia sana. Tumeongeza ubora sio kwa kuwekeza sana pesa ila ni kuwa kuwekeza zaidi katika kufanya kazi. Kwa miezi miwili/mitatu tumekuwa na matokeo mazuri na sasa kila mtu anaona ni kwa namna gani tunawezakufanikiwa kwa kutumia falsafa yetu.
“Kila mmoja alikuwa kwenye ubora wake na kiwango tulichonacho sasa hivi kinatishia kidogo. Ila haishangazi kwa sababu ninawaona wanavyojituma kwenye mazoezi.” alisema kocha wa Southampton – Ralph Hasenhuttl.
Hii ni halisi kwa ajili ya mashujaa wote! Ukiwa jasiri unavuna mkwanja kibao hapa na sloti hii ya Huangdi Casino. Waka nusu tukupe maradufu!



Povel
Ni kwl Epl ya msimu naona watakatifu wanajambo la ndani ya epl msimu Kama tusipo angaliah hapo suprize inawez kutokeah ndani ya epl msimu huu
Fatina mfigi
Safi sanaa!!
Shani
Wakazane isije history ikarudi kale
warda
Ni kama Yanga tu hao wanaongoza kwa mda
Sadick
Southampton imekuwa ikifanya vzr mno siku za karibuni. Ni mwendelezo mzuri mno.
aisha
Southampton ni timu nzur yenye kabumbu nzuri
Hopemwaikuka
Wametisha kinoma
Issa
Klabu yeny maajabu
Saupha mohamed
Safi sana
Kabogolo II
Ila southampon wanajitahid sana
Sauda
Wametisha sana
Ester jackson
Good
Adelta
Southampton imekuwa ikifanya vizuri Sana .inamwendelezo mzuri
Mwajumah
Southampton imekua ikifanya vizuri mno siku za karibuni
Caroline
Southampton wamevunja rekodi.hongera kwao
Tatu
Southampton wakiendelea kukaza wanaweza wakafika mbali
Angelina
Safi
Fatuma kasomo
Safi
Asia Abdy
Hongera zaoo
Sabrina
Safi aana
Zahara Omary
Safi snaa
Tahiya
Bravo
Ernest
Southampton imekuja na sura tofauti kabisa, All the Best kwao katika kuweka historia kubwa zaidi.
magdalena
bado safari ni ndefu sana kwao wapambane vya kutosha