McGregor Anapanga Kuwa Bilionea

Legendari wa ndondi, Conor McGregor amebainisha kuwa mpango wake ni kuhakikisha anaongeza utajiri wake ili aweze kuungana na mastaa kama Ronaldo, Messi na Mayweather ambao ni mabilionea.

Katika mpango wake huu, bondia huyu ambaye anatarajiwa kurejea ulingoni hivi karibuni, amejiwekea malengo ya umri ambao ni lazima awe amefikia ubilionea.

McGregor

Bingwa huyu kwa sasa ana miaka 32, na amejipatia miaka 3 tu kuufikia ubilionea. Nyota huyu kwa sasa anatajwa kuwa na utajiri wa takribani Euro milioni 100. Anahitaji kuwa Bilionea hadi anapofikia miaka 35, umri ambao mastaa wengi wa michezo hustaafu.

McGregor ambaye ni bondia anayelipwa pesa nyingi zaidi katika historia ya UFC Lightweight, anatarajia kurejea ulingoni mapema 2021.

Ukiacha kuwa moja ya wapiganaji wanalipwa pesa nyingi zaidi, Staa huyu pia ana madili na kampuni mbali mbali za kibiashara kama Burger King, Beats by Dre, Monster Energy na Reebok. Anaamini anaweza kuongeza thamani na kupata malipo bora zaidi yatakayofanikisha lengo lake afikiapo umri wa miaka 35.


USHUJAA UNAKULIPA HAPA!

Hii ni halisi kwa ajili ya mashujaa wote! Ukiwa jasiri unavuna mkwanja kibao hapa na sloti hii ya Huangdi Casino. Waka nusu tukupe maradufu!

Ratiba ya Soka Ligi Mbalimbali.

Ingia Mchezoni!

23 Komentara

    Inawezekana kikubw juhudi,bidiii, maarifa,mshikamano ,na kutok kutaka tamaa na kuwa na imani na jambo fulan hunawez kufik malengo uliojiwekeah hapo

    Jibu

    Inawezekana juu ana nia sasa awekeze nguvu zake kwny mapambon!!

    Jibu

    Ukikaza buti mbona utafikia malengo yako Mcgregor na kuwapit mbak hao!

    Jibu

    Kila la kheri kwake.

    Jibu

    Kila unaloomba ndo Mwenyezi Mungu anavyokupa

    Jibu

    Kupanga malengo ni jambo zuri na kufanikisha malengo ni jambo jingine. Kila lakheri kwake kufanikiwa lengo lake

    Jibu

    Mc gregory makin sana kwenye ngumi

    Jibu

    Pambana tu utafika hakuna shida

    Jibu

    Gregory anawez kua tajir sana kwa mapambano alioyaweza

    Jibu

    Mawazo mazurii sana apambane tu

    Jibu

    Kila nia kuna ufahari mbeleni ila duuh ametisha yani sisi binadamu huwezi kuwa maarafiki ambao wako juu zaidi yako kama huna chochote hayo ndio matabaka ambayo tuliyo wekewa tajiri na tajiri mwezake masikini na masikini mwezake .

    Jibu

    Hayo ndio maendeleo

    Jibu

    Wazo zuri apambane ili ndoto yake itimiye

    Jibu

    Kila la kheri kwake kikubwa apambane tu

    Jibu

    Kila kitu kinawezekana chini ya jua..apambane tyu

    Jibu

    Kuwa na malengo ni jambo zuri

    Jibu

    Penye nia pana njia

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Namtakia heri na mafanikio

    Jibu

    Ndoto zake zitatimia tu

    Jibu

    Kula la kheli

    Jibu

    Good news

    Jibu

    kikubwa ni kutimiza ndoto zake

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.