Kocha wa klabu ya Aston Villa Steven Gerrard amesema hana haraka ya kumsajiri nyota wake ambaye yupo kwa mkopo kwenye klabu hiyo Philippe Coutinho ili kumpa usajiri wa kudumu kwenye klabu hiyo.
Coutinho amekuwa mchezaji bora mechi kwenye mchezo ambao Aston Villa alishinda 4-0 dhidi ya Southampton siku ya jumamosi, Steven Gerrard alimuelezea kiwango cha Coutinho, “kwa sasa kiwango chake ni kama kile cha zamani akiwa Liverpool”

“Kwangu haileti maana kufanya maamuzi yeyeote sasa, tunahitaji kumfanya afurahie hapa, kumuweka sawa mpaka mwisho wa msimu na nina uhakika atatusaidia sana, kumwangali na kufanya nae kazi na kumuoana akirudi kwenye kiwango chake huku akifurahia mpira wake tena.”
Kuna taarifa kuwa Aston Villa wamepewa offa ya kumsajiri moja kwa moka mpaka mwisho wa msimu ambapo watapaswa kulipa kiasi cha £33 million kwenye majira ya kiangazi.
Mchongo mpya mjini ni Shindano la Evoplay Spring Aweking katika kasino maridhawa za meridianbettz. Pata mgao wako wa TSh 25,000,000 katika michezo kibao ya kasino na sloti ziliyochaguliwa kushiriki.


