Mashindano ya ATP Finals 2020 kwenye mchezo wa Tenesi yanaendelea katika uwanja wa O2 Arena nchini Uingereza. Novak Djokovic na Daniil Medvedev wanaendelea kuwasha moto kwa ushindi kwenye michezo yao. …
Makala nyingine
Kunako mashindano ya mchezo wa tenesi, ATP Finals 2020 imeendelea tena wikiendi hii. Rafael Nadal, Dominic Thiem na Novak Djokovic wakifurahia nyakati zao tofauti tofauti. Rafael Nadal ameendelea kuwa bora …
2020 inaendelea kuwa njema kwa Rafael Nadal. Baada ya kutwaa ubingwa wa French Open, sasa amefikisha ushindi wa 1000 katika mchezo wa ATP Tour. Nadal anakuwa ni mchezaji wa 4 …
Mashindano ya Western and Southern Open yanaendelea kutimua vumbi mjini Cincinnati – Marekani. Novak Djokovic na Johanna Konta wanaendelea kuwaburuza wapinzani wao na sasa wamefuzu hatua ya nusu fainali. Katika …
Mchezaji wa tenisi – Andy Murray amekiri kupungua kasi yake wakati huu anaotizamia kurejea kwenye Mashindano ya ATP Tour wikiendi hii. Bingwa mara 2 wa Wimbledon– [Andy]Murray atakutana na Mmarekani …
Utafiti uliofanywa na jarida la Forbes, umeonesha wachezaji wanawake wanaocheza mchezo wa Tennis ni miongoni mwa wanamichezo matajiri duniani. Katika orodha ya wachezaji 10, 9 wanacheza mchezo wa Tennis wakati …
Baada ya kusimama kwa michezo mbalimbali duniani kutokana na mlipuko wa Corona. Michuano ya US Open 2020 inarejea na safari hii, mtaalamu Novak Djokovic atakuwepo. Djokovic amethibitisha kucheza michuano hiyo …
Tennis (tenisi) ni aina ya mchezo unaochezwa na watu wawili au wanne wakishindana kwa kupiga mpira mdogo kwa raketi kwenye uwanja wa tennis. Shabaha ni kupiga mpira kwa upande wa …
Serena Williams mwenye umri wa miaka 38 alipata majeraha mwaka 2019 lakini alipona na kufanikiwa kushiriki fainali za mwaka uliopita wa 2019 katika jiji la New York nchini Marekani, mashindano …
Roger Federer atakua nnje ya viwanja vya Tennis kwa mwaka wote wa 2020 kutokana na kupata majeraha ya goti lake la mguu wa kulia, Jeraha hilo lililopelekea Federer kufanyiwa upasuaji …
Mwana michezo wa mchezo wa Tennis Andy Murray amepanga kucheza shindano la kujitolea lililo andaliwa na kaka yake Jamie ambalo litasaidia kuchangia pesa kwenye Idara ya Afya ya Uingereza. Pambano …
Mkali wa mchezo wa tenisi duniani, Novak Djokovic amesema kwamba yeye atakwenda kinyume na suala la wao kulazimishwa kupatiwa chanjo ya ugonjwa wa Corona ambao umeibuka ili kushiriki michuano yao! …
Mwana michezo wa mchezo wa Tenisi mwenye Asili ya marekani Coco Gauff anapitia kipindi kigumu cha tatizo la kisaikolojia lililotokana na kukua gafla kwa umarufu wake wa haraka kwenye mchezo …
Kwa mara ya kwanza tangu vita ya pili ya dunia, mashindano ya tennis ya Wimbledon hayatakuwepo mwaka huu kutokana na janga la Virusi vya Corona(covid19). Mashindano ya Wimbledon yalitakiwa kuchezwa …
Nyota wa tenisi, Andy Murray amekumbana na magumu wakati akiendelea kujifua kwa ajili ya michezo ya Miami Open inayoendelea baada ya kukutana na majeraha ambayo yanaweza kuhatarisha maendeleo yake kusonga …
Mara nyingi wadhamini huwa na mchango mkubwa sana kwenye maendeleo ya mchezaji hasa katika kujenga wasifu wake. Jambo hilo mara nyingi huwafanya wachezaji wengi kuhangaika nalo ili angalau waweze kuwa …
Nyota wa tenisi, Roger Federer amekumbushia historia yake ya maisha ya tenisi kwa miaka 15 iliyopita siku alipokutana kwa mara ya kwanza uwanjani na Rafael Nadal na alipopoteza mechi …

