Makala nyingine

Mchezaji nyota wa tenesi kutoka nchini Canada Denis Shapovalov amethibitishwa kuwa na maambukizi ya Uviko-19 baada ya kupimwa alipotua jijini Sydney nchini Australia alipokwenda kushirika masshindano ya ATP Cup. Denis …

Katika hali isiyo ya kawaida au pengine mashabiki wengi hawakutegemea, Serena Williams atolewa kwenye mashindano ya French Open 2021. Williams alikuwa akichuana na Elena Rybakina katika mchezo wa mzunguko wa …

Pengine ni matokeo ambayo wengi hatukuyatarajia kwenye mashindano ya Miami Open 2021. Upande wa wanawake, Naomi Osaka amefungashiwa virago vyake huku Daniil Medvedev akiungana naye kwa upande wa wanaume. Osaka …

Mambo yanazidi kunoga kunako mchezo wa tenesi. Mashindano ya Miami Open, 2021 yanaendelea kushika hatamu. Kushinda na kushindwa zote ni sehemu za mchezo. Mjapan, Naomi Osaka ameendelea kuwa mwiba kwa …

Mchezaji wa tenesi raia wa Serbia, Novak Djokovic ameifikia rekodi ya mchezaji mwenzake raia wa Hispania, Roger Federer ya kuwa mchezaji wa 1 duniani kwa muda wa wiki 310. Djokovic …

Roger Federer anaimani atarejea tena uwanjani mapema mwezi Machi, 2021. Hii ni baada ya nyota huyu kuwa nje ya uwanja akiuguza majeraha ya goti. Federer anakosekana kwenye mashindano ya Australian …

Kuelekea mashindano ya Australian Open 2021, uongozi wa serikali umethibitisha uwepo wa mashabiki 30,000 watakaoruhusiwa kuingia viwanjani kwenye mashindano hayo. Jumla ya mashabiki 30,000 wataruhusiwa kuingia viwanjani kila siku kwa …

Kuelekea mashindano ya ATP Cup 2021 kimataifa, Novak Djokovic, Rafael Nadal, Dominic Thiem na Daniil Medvedev kuzipeperusha bendera za mataifa yao. Mashindano ya ATP Cup 2021 yatashirikisha mataifa 12 tu, …

Muingereza Andy Murray ameamua kujiondoka kwenye mashindano ya ATP yatakayofanyika Delray Beach wiki ijayo, sababu ikiwa sio majeruhi. Andy Murray atauanza msimu wa 2021 katika michezo itakayofanyika jijini Florida hii …

Mashindano ya Indian Wells yaliyokuwa yamepangwa kufanyika Machi 2021, yameghairishwa kutokana na mlipuko wa COVID19 kwa mujibu wa ATP. Ukiachana na mashindano ya Grand Slams kwenye mchezo wa tenesi, Indian …

Licha ya mwaka 2020 kuwa na matukio mbalimbali ya kuhuzunisha, kufurahisha, kushtusha na kadhalika. Tukiwa tunaelekea mwishoni mwa mwaka 2020, tuyatizame matukio 5 ya kukumbukwa katika mwaka 2020. Baada ya …

Baada ya ratiba rasmi ya mashindano ya Australian Open 2021 kukamilika. Serikali imetoa tamko kuhusu utaratibu wa kukaa karantini kwa wachezaji na timu zitakazoshiriki. Mashindano ya Australian Open yatachezwa Februari …

Mashindano ya ATP Finals 2020 yamemalizika na Daniil Medvedev ameumaliza mwendo kwa kubeba taji kubwa zaidi kwenye maisha yake ya uchezaji tenesi mpaka sasa. Fainali ya ATP 2020 ilimkutanisha Medvedev …

Bado ni pata shika-nguo kuchanika kwenye Mashindano ya ATP Finals 2020. Baada ya kupoteza mchezo wa mwisho,  Novak Djokovic amepindua meza alipokutana na Alexander Zverev. Katika mchezo wa kuisaka tiketi …

Katika muendelezo wa Mashindano ya ATP Finals 2020, bingwa mara 20 wa Grand Slams – Rafael Nadal ameendelea kuonesha umwamba kwenye mchezo wa tenesi. Rafael Nadal alionesha kiwango thabiti katika …

Kunako Mashindano ya ATP Finals 2020, mchezaji namba 1 kwa ubora duniani – Novak Djokovic, ameangukia pua kwa Daniil Medvedev katika mchezo wa kuisaka tiketi ya nusu fainali. Djokovic amejikuta …

2020 ikiwa inaelekea ukingoni. Mchezo wa tenesi unapambwa kwa mashindano ya ATP Finals 2020 yanayofanyika nchini Uingereza katika uwanja wa O2 Arena jijni London. Kuelekea hatua ya nusu fainali ya …

1 2 3
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.