Baada ya ratiba rasmi ya mashindano ya Australian Open 2021 kukamilika. Serikali imetoa tamko kuhusu utaratibu wa kukaa karantini kwa wachezaji na timu zitakazoshiriki.
Mashindano ya Australian Open yatachezwa Februari 8, 2020 hii ikiwa ni mara ya kwanza baada ya miaka 100 kupita tangu michezo hii ilipochezwa mwezi Februari, kikawaida mashindano haya hufanyika mwezi Januari.
Kutokana na taratibu za kujilinda dhidi ya maambukizi ya virusi vya COVID19, wachezaji na washiriki wote wa mashindano hayo watapaswa kukaa karantini kwa siku 14 kabla ya kuanza kwa mashindano hayo.
” Mipango ya karantini imeshatolewa na afisa mkuu wa afya,serikali itashirikiana na Tennis Australia katika kukamilisha mpango salama wa COVID ambao utahakikisha usalama wa kila mmoja.
“Wachezaji na timu zao watapimwa kabla ya kusafiri kuja Australia na watakuwa wakipimwa mara 5 kwa siku wakati wakiwa karantini.” Serikali ya Victoria iliripoti.

Michezo ya kufuzu kucheza Australian Open 2021 itachezwa Doha, Qatar kuanzia Januari 10-13 kabla ya mashindano hayo kuanza kutimua vumbi mjini Melbourne, Australia Februari 8, 2021.
BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!
warda
Bora wameanza mapema maandalizi ya karantini
Rahma
Vizuli
Adelta
Ni vizuri arudi ulingoni
Sarah
Nijambo nzuri
Dorophina
Habari njema hizi
Issa
Habar nzuri
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri
Saupha mohamed
Good
Hopemwaikuka
Imekaa vema sana
Janeflora malisa
Safi
Ester jackson
Habari njema
Tatu
Jambo zuri
Shakila mrope
Vizuri San
samiah
Nijambo zuri
Fatuma kasomo
Asante kwa taarifa meridianbet