Australian Open: Hujachanja Hushiriki!

Wakati suala la kupata chanjo ya COVID-19 likiendelea kuwa gumzo duniani, ni zamu ya wanamichezo watakaoshiriki mashindano ya Australian Open 2022.

Uongozi wa Australia umetoa angalizo kuelekea mashindano ya Australian Open yanayotarajiwa kuanza mwakani. Haya ni miongoni mwa mashindano makubwa ya Grand Slam kwenye kalenda ya mchezo wa tenesi. Januari 7,2022 mashindano haya yataanza rasmi jijini Melbourne, Australia.

Kiongozi wa Victoria, Daniel Andrews amenukuliwa akitoa angalizo kuelekea mashindano haya. Andrews anasema;

Sidhani kama mcheza tenesi ambaye hajachanja, atapata visa ya kuingia nchini. Kama watapata visa, basi watapaswa kukaa karantini kwa wiki kadhaa.

Kama nimekosea, nina uhakika serikali itaeleza vizuri zaidi. Virusi havijali nafasi yako ya kucheza tenesi duniani, umeshinda mataji mangapi ya Grand Slam. Havihusiani kabisa. Unatikiwa kuchanja ili kujilinda na kuwalinda wengine.


KUSANYA MKWANJA NA BIG BAD WOLF

Mchezo wa Big Bad Wolf ni moja ya michezo pendwa katika kasino zetu za meridianbet. Ukiachana na tabasamu utakalolipata wakati wa kucheza pia unajiwekea nafasi ya kuwa mshindi wa mkwanja mrefu unaotoka kila baada ya mzunguko kukamilika.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.