Serena: Top Seed Open Yapamba Moto.

Mcheza Tenesi namba moja wa zamani kwa wanawake – Serena Williams amerejea kwa kishindo kunako michuano ya Top Seed Open.

Nguli huyo mwenye tuzo 23 za Grand Slam alijikuta akipambana kurudi mchezoni baada ya kuwa amezidiwa seti moja na mpinzani wake Bernarda Pera.

Serena
Serena Willams katika mchezo dhidi ya Bernarda Pera

Katika mchezo huo, Bernarda alikuwa anaongoza kwa seti 4-6 0-4 na 4-4 katika seti ya pili ya michuano ya Top Seed Open inayochezwa jijini Kentucky – Marekani. Ndani ya saa 2 na dakika 15, Serena alipindua matokeo na kushinda kwa seti 4-4 6-4 6-1.

Serena amenukuliwa akisema ” Nilijua kama sitokata tamaa, nitacheza vizuri zaidi.”

Baada ya ushindi huu, Serena atakutana uso kwa uso na ndugu yake Venus Williams ambaye pia amewahi kuwa mchezaji namba moja duniani. Venus alimchakaza Victoria Azarenka kwa seti 6-3 6-2.

 

serena
Serena Williams (kushoto) na ndugu yake Venus Williams (kulia)

Mchezo wa mwisho katika ngazi ya mashindano ya Serena ulikuwa ni katika michuano ya Fed Cup Tie ambapo alichuana na Latvia mwezi Februari. Mchezo huo ulikuwa wa aina yake mapema kabisa baada ya Serena kukatisha mchezo wa kwanza na kugawa pointi kwa mpinzani wake katika mchezo wa pili.

Katika mchezo wa tisa, mambo yalibadilika na kuanza kumnyookea Serena ambaye aliibuka kidedea mwishoni mwa mchezo huo.

serena
Serena Williams katika michuano ya Top Seed Open

Serena anapanga kushiriki michuano yote ya US Open inayochezwa mwezi huu, pamoja na French Open iliyopangwa kuchezwa mwezi Septemba baada ya Mlipuko wa Virusi vya Corona.

Hii ni michuano ya kwanza kwa wanawake tangu kifo cha George Floyd kilichozua gumzo na maandamano katika sehemu mbalimbali za ulimwengu kupinga ubaguzi wa rangi. Michuano hii inaendelea kusimamia msemo wa “Black Lives Matter” katika michezo yote.


Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Basi fahamu kuwa kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.

Soma zaidi

26 Komentara

    Serena talent player

    Jibu

    safi sana serena#meridianbettz

    Jibu

    Serena fundi

    Jibu

    Maoni:serena ndo atakuwa bingwa wa michuano hiyoo

    Jibu

    Big up kwa serena uko vizuri dada

    Jibu

    Serena Ni fundi
    @meridianbettz

    Jibu

    Serena William ndo bingwa wa Tennis

    Jibu

    Serena ndio fundi wa tenesi anajua sana uyu dada#Meridianbettz

    Jibu

    Katika wachezaji wa tenes Serena William ndio namba moja ambaye namkubali sana hata ukiangalia historia yake tangu yupo mdogo anajua sana aliweza kumshinda Dada yake akiwa mdogo hivyo ananipelekea kuwa anashinda mbele ya shindano ambalo atacheza na Dada yake.

    Jibu

    Serena yupo vizuri

    Jibu

    Namuaminia sana Serena kwenye tenes

    Jibu

    serena hana mpinzani kwa upande wa tenisi

    Jibu

    Serena ni mmoja wa wachezaji tennis ambaye amekuwa na kiwango cha juu tangu aanze kucheza#meridianbettz

    Jibu

    Serena yuko vizur Sana

    Jibu

    Yuko vizuri Sana Serena

    Jibu

    Among the talent player

    Jibu

    Serena yupo vzr

    Jibu

    Serena yupo vzuri

    Jibu

    Safii Sana Selena namuelewa Sana mdada anaejiweza kupambana kwenye tenes namkubali

    Jibu

    Serena namkubali sana.

    Jibu

    Nimefurah kumuona Serena William anarud kwa kasi maana alipotea sana pia alishuka sana kiwango na kuanza kufungwa na vijana wanaochipukia but I’m enjoyed

    Jibu

    serena amekuwa akifanya vyema sana katika huu mchezo na ataendelea kufanya maajabu zaidi habar njema kwa mashabiki wake

    Jibu

    Nimefurah kumuona Serena William anarud kwa kasi maana alipotea sana pia alishuka sana kiwango na kuanza kufungwa na vijana wanaochipukia

    Jibu

    Serena Huwa Yupo Juu sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.