Nyota wa Chelsea anayehusishwa na AC Milan Tiemoue Bakayoko alisema kuwa klabu hii “iko moyoni mwangu” lakini alikuwa na wasiwasi juu ya uwezekano wa kurudi pale San Siro.
Kwa mujibu wa chanzo cha habari cha Sky Sport Italia, ameripoti kuwa klabu ya AC Milan tayari walikuwa wanafanya mazungumzo na Chelsea ili kumrudisha kiungo huyo wa Ufaransa pale San Siro.

Hata hivyo, Tiemoue aliulizwa kuhusu kuhusishwa kwake na kurejea milan, na alishindwa kuficha hisia za mapenzi yake na klabu ya AC Milan, Japokuwa bado ana wasi wasi katika uwezekano wa kutima tena klabuni hapo.
Maneno ya Tiemoue Bakayoko
“Kila mtu anajua kuwa Milan iko moyoni mwangu na nina kumbukumbu nzuri sana pale. Kwa sasa mimi ni mchezaji wa Chelsea, na katika soka itabidi tusubiri na tuone.”
Taarifa zinasema kuwa Milan wanamtaka Bakayoko kwa mkopo kwa €3m huku wakiwa na chaguo la kumnunua moja kwa moja kwa paundi €35m.
Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.


Caroline
Basi fanya urudi.maana Millan nao wanakuhitaji
Sadick
Wakati akiwa Chelsea Bakayoko hakupata nafasi ya kutosha ya kucheza na Milan ipo ktk mradi wa kujenga timu ya ushindani#meridianbettz
aisha
Bakayoko tunashukuru kwa kuonyesha mapenzi yako ya zati kwa kuipenda club yako na pia wanatakiwa wachezaji wengine waige kwako
Mwajumah
Basi fanya uludi millan wanakuitaji#Meridianbettz
Sauda
Fanya urudi Milan bado wanakuhitaji
felister
ni vizuri mchezaji kua na mapenzi na timu
Dorophina
Bakayoko ni mchezaji mzuri sana afanye arudi kwenye chama lake
Tatu
Habari nzuri
Shan
Vyema!
lombo
Asante meridianbet kwa habar moto moto
Devotha
Mchezaji kuwa na mapenzi na timu fulani inakuaje siku hiyo timu ikikutana na timu anayoitumikia ataweza kuifunga kweli?
Povel
Kipenda Roho hula nyama mbichi wamwache anapopataka tu
Gabriel
Bakayoko bonge la mchezaji namkubal sana n wachezaji wachache ambao wanaoweza kuonyesha mapenz katika soka
Sabrina
Basi sawa rudi millan
Theonestina
Fanya urudi tu
Hope mwaikuka
It’s your decision to back
Shafii
Gud news.
Rose kapinga
Hongera kwa kuonyesha mapenzi ya dhati!!!
Rehema
Kama vp ww rudi tu millan
Khadija
wachezaji wachache ambao wanaweza kuonyesha mapenzi katika soka#meridianbettz
Adelta
Fanya urudi tu millan
@meridianbettz
Fatina mfingi
Rudi zako tu millan!
Zeiyana
Ni vizuri mtu yoyote kufanya kitu kile hanacho kipenda na imani kama ac Milan watampa nafasi hataipelekea kuibadilisha matokea na kubwa sehemu nzuri zaidi
Njiku
Safii mapenzi na timu inapendeza sana
Ester jackson
Bakayoko ni mchezaji mzuri sana Milan na nilazima awe na mapezi nayo mana anapata nafasi ya Mara kwa Mara uwanjani
Lydia Emmanuel Magoti
Nivizuri anacho kisema kipo moyoni mwake yupo Good
Ernest
Huu ndio mwanzo wa safari nyingine kwa Bakayoko
Salma ngende
Amua kufata moyo wako
Fatuma kasomo
Safi sana nimependa
Saupha mohamed
Safi anafanya kitu moyo unataka
Furahav
Itakua vizuri km akirudi.
magdalena
afanye kile moyo wake unamsukuma kufanya tu
David Pere
Kweli amelizika nayo
warda
Bakayoko Amepotea kwenye Ramani