Farid Mussa is Yellow

Yanga SC imetangaza rasmi leo Agosti 12, 2020 kukamilisha usajili wa winga wa Kimataifa wa Tanzania, Faridi Mussa Shaha kwa mkataba wa miaka miwili akiwa mchezaji huru kutoka Club Deportivo Tenerife ya Hispania.

Usajili huo wa Mussa sasa unamfanya kuwa nyota wa nane kusajiliwa na Yanga msimu huu akitanguliwa na kiungo Zawadi Mauya (Kagera Sugar), mabeki Bakari Mwamnyeto (Coastal Union), Yassin Mustapha (Polisi Tanzania).

Wengine ni mabeki Kibwana Shomari (Mtibwa Sugar), Abdallah Shaibu (Ninja), washambuliaji Waziri Junior (Mbao) na Yacouba Sogne (Asante Kotoko) huku kiungo Feisal Salum naye akiongezewa mkataba wa kuendelea kuitumikia timu hiyo.


Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Basi fahamu kuwa kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.

Soma zaidi

29 Komentara

    Naona Yanga inataka kubadili kikosi kizima#meridianbettz

    Jibu

    Yanga Kama nawaona 2020/2021

    Jibu

    As long as its fine to him

    Jibu

    Naisubili yanga ya msimu ujao itakavyo tisha.

    Jibu

    Kila la kheri Farid Mussa

    Jibu

    Hapa naiona sura mpya ya kikosi cha yanga usajil wao nimeupenda sana 👍

    Jibu

    Yanga sio ya mchezo mchezo naona wanajipanga kutambaa msimu ujao

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Yanga mnapambana kutafuta mabadiliko kwenye kikosi chenu!!!

    Jibu

    Usaji mpya naona wa yanga hii nimeipenda sana

    Jibu

    Naona yanga wanavyoangaika kutaka kubadilisha kikosi kizima#Meridianbettz

    Jibu

    Yanga wako kwenye mwendo wa kutafuta
    Kikosi imara kwa Sasa wameshuka Sana daraja mwenyezi mungu afanyie wepesi ktk hilo@meridianbettz

    Jibu

    yanga usajili wao nimeupenda#meridianbettz

    Jibu

    Naona wanasajili kwa msimu ujao hongeren yang!!

    Jibu

    Hii ndio yanga bhana panda mti kata mti me ningependa ungekaguliwa na mkataba wa faridi mussa shaha ili baadae yasije kutokea ya Morrison ..!

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Nasubiri kuiona yanga ya msimu huu itakuwaje

    Jibu

    Naisubili kwamu Yanga kuiona kwa upya huo

    Jibu

    Habari nzuri kwa Yanga

    Jibu

    Karibu

    Jibu

    Aya Aya tutaelewana tu.yanga mbele daima

    Jibu

    Hongereni

    Jibu

    Farid namkubali ila sio wa kucheza yanga.

    Jibu

    Karibu jangwan Farid

    Jibu

    yanga wanataka wachukue wachezaji wapya tu naona ila benchi la ufundi liongeze jitihada za kuwatengenezea mazingira mazuri wachezaji ili wapate kucheza mpira kwa juhudi kubwa

    Jibu

    yanga mbele daima

    Jibu

    Yanga wana mbwebwe nyingi sana isije ikawa kama ya merrison

    Jibu

    Naisubili yanga ya msimu ujao itakavyo tisha.hatarii

    Jibu

    Hamna kitu Apa wanajisajilia tu hovyo hovyo

    Jibu

Acha ujumbe