Azam FC leo Agosti 12 imeingia mkataba wa miaka miwili na beki wa kushoto, Emmanuel Charles, akitokea Mbao kwa usajili huru.
Charles usajili wake ni sehemu ya kuongeza nguvu katika eneo la ulinzi la Azam FC, likiwa ni pendekezo la benchi la ufundi chini ya Kocha Mkuu, Aristica Cioaba.

Beki huyo alikuwa na kiwango bora akiwa na Mbao msimu uliopita, akifanikiwa kutengeneza mabao matatu na kufunga mawili.
Huo ni usajili wa sita kwenye kikosi cha Azam FC kuelekea msimu ujao, wengine wakiwa ni kipa David Kissu, Awesu Awesu, Ally Niyonzima, Ismail Aziz na Ayoub Lyanga.

Zoezi la usajili litafungwa na kikosi hicho kwa kumalizia nafasi mbili za wachezaji wa kigeni, wanaotarajiwa kutua nchini hivi karibuni.
Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema kuwa malengo makubwa ni kuboresha timu hiyo kwa ajili ya msimu wa 2020/21.
Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Basi fahamu kuwa kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.


Sadick
Usajiri umepamba moto Azam, Yanga, Simba na Gwambino#meridianbettz
Povel
Kila la kheri beki kisiki kwa Wana lamba lamba
Hope mwaikuka
All ze best Emmanuel
Shafii
Pongezi za dhati kwa wana lamba lamba.
Devotha
Safi sana kwa azam kuzidi kuandaa kikosi Chao! Kila la kheri Charles
Dorophina
Mwakani ligi itakuwa balaa maana kila mtu anajiandaa ipasavyo
Gabriel
Emmanuel Charles n bonge la bek upande wang namkubal sana naamin atafanya mabadiliko ya nguvu
Sabrina
Azam hawataki masihara kwenye usajili wamemchukua jeshii huyoo
Mariam mtandama
Safi sana
Rose kapinga
Kila kher fanya mapinduz Apo Azam!!
Rehema
Safi Sana baki nakukubali
Mwajumah
Wanafanya usajili mzuri sana azam kwa ajili ya kukiandaa kikosi chao#Meridianbettz
Adelta
Pongezi kwake
@meridianbettz
Khadija
pongezi kwake#meridianbettz
Fatina mfingi
Pongezi nyingi nyingi kwako
Zeiyana
Kwa usajiri huu wanaoufanga azamu hinatuonesha kabic wanamatarajio ya kuirudisha azamu yao ile zamani
Njiku
Bonge la usajili
aisha
Usajili wa ukweli ambao hauna lawana
Ester jackson
Usajili mnzuri sana walio ufanya azam
Lydia Emmanuel Magoti
Usajiri mzuri Sana kwa kiungo mzuri Emmanuel
Ernest
Azam na yenyewe haitaki masihara kwenye usajili
Tahiya
Usajir umepamba moto bongo
Salma ngende
Kila LA heri
Caroline
All the best Azam Fc
Saupha mohamed
Pongezi kwao
Furahav
Hongera kwake kijana.
magdalena
emmanuel kanyakua bonge la dili kusaini mkataba na timu kubwa inayoshika nafasi ya tatu katika ligi za tanzania
felister
all the best
Tatu
Azam naona wanajipanga kwa msim ujao kila LA kheri kwao
David Pere
Usajiri umepamba moto Azam, Yanga, Simba na Gwambina wanakamiana kweli
warda
Azam nao wapo moto sana
Sania
Kila la kheri kwa Azam