Mashindano ya US Open 2020 yanaendelea kutoa matokeo ya kushitua kwa baadhi ya wachezaji kuangukia pua wakati wengine wakiendelea kusonga mbele. Sio wachezaji nyota, sio chipukizi, mashindano ya mwaka huu ni pata shika nguo kuchanika.
Matokeo ya michezo ya US Open 2020.
Kwa mara ya kwanza Mmarekani – Jennifer Brady amefikia hatua ya robo fainali. Hii ni baada ya kumfunga bingwa wa mwaka 2016 – Angelique Kerber.
Brady alishinda kwa seti 6-1 6-4. Kerber alijikuta akiupoteza mchezo katika dakika 32 za mwanzo na akijikuta akipata asilimia 35 pekee katika mchezo mzima.
Petra Martic ameshangaza ulimwengu baada ya kutolewa na Yulia Putintseva kwa 6-3 2-6 6-4.
Kama ilivyo kwa Martic, Petra Kvitova ameshindwa kuendeleza umwamba wake na kujikuta akitupwa nje ya mashindano haya kwa kufungwa seti 7-6 (7-5) 3-6 7-6 (8-6) na Mmarekani- Shelby Rogers.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


magdalena
us open mambo yanazidi kupamba moto kila mtu ataki kushindwa kulikosa kombe
warda
Kweli Mwaka Huu US Open Hapatoshi#Meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Kweli kabisa Mambo yanazidi kupamba Moto kilamtu amekuja kivingine kilamtu anataka kulinyakuwa kombe kwaio Amna mtu ataelaza damu kwenye ushindani huo
Adelta
Hapo kazi ipo US Open inabidi afanye mazoezi yakutosha ili aweze kushinda@meridianbettz
Elika
Kila mtu anataka ushindi..hapo ni hakuna kulala
felister
mashindano ya mwaka huu ni patashika nguo kuchanika
Fatina mfigi
Mashindano ya mwaka huu Ni moto wa kuotea mbali
Mwajumah
Us open mwaka huu Mambo ni moto tu Kila siku#Meridianbettz
Mwanahamisi
Hapo kazi ipo
Tatu
Mwaka huu alali mtu US open
Neema
Mwaka huu uko moto kweli kwelii
aisha
Kweli mwaka huu hakutatosha kabisa maana kila mtu anataka ubingwa
Furahav
Mchezo wa tennis naukubali sana.
Flomena
Good news
rama
Msimu huu sio wa masihara kabisa
Sadick
Ndio maana ya mashindano hakuna kusindikiza mastaa bali kila mshindani kucheza kwa nguvu zote ili kushinda#meridianbettz
Sabrina
Hatari sana
Latifa juma mohamed
New information.
Dorophina
Hongera Jennifer kil lakheri
Sauda
Us Open kumenoga
Amani
Now Wana pambana Sana wale wenye majina makubwa siwaoni
Samiah
Duuh
David Pere
Ndio maana ya mashindano hakuna kusindikiza mastaa bali kila mshindani kucheza kwa nguvu zote ili kushinda