Tetesi za Soka Barani Ulaya.


 

Tetesi zinasema mazungumzo mapya ya mkataba mpya kati ya Liverpool na kiungo wa kati wa Uholanzi Georginio Wijnaldum, 30, yamegonga mwamba.

Mgombea wa rais katika klabu ya Barcelona Agusti Benedito anasema kwamba hafikirii kwamba Lionel Messi 33 ataongeza mtakaba wake katika klabu hiyo unaoisha mwezi Juni 2021.

Tetesi zinasema Manchester City inaamini wako mbele ya mstari kumsaini lionel Messi iwapo mshambuliaji huyo wa Argentina ataondoka Barcelona katika majira ya joto.

 

Lionel Messi Barcelona

Everton inatarajia kupokea ofa za Moise Keane 20 kutoka klabu ya PSG , ambapo mshambulaji huyo wa Itali yuko katika mkopo lakini pia Everton haina haraka kuamua kuhusu hatma yake ya baadaye.

Tetesi zinasema Kiungo wa kati wa Arsenal na Ujerumani Mesut Ozil, 32, amekubali mkataba wa miaka mitatu na nusu na klabu ya uturuki Fenerbahce.

Hatma ya Ozil itaamuliwa hivi karibuni , lakini lengo la mshindi huyo wa kombe la dunia ni kusalia Arsenal hadi kandarasi yake itakapokamilika katika majira ya joto.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Tetesi zinasema Barcelona inasema kwamba itajaribu kuzungumza na Messi ili kumshawishi kuongeza mkataba wake baada ya kusema kwamba angependelea kucheza nchini Marekani mwisho wa mchezo wake.


JIUNGE NA FAMILIA YA MERIDIANBET BURE!!!!

Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??

BOFYA HAPA

19 Komentara

    Asipoongeza mkataba aende timu yoyote

    Jibu

    Barca kama wanaoma messi hafai bora wamuachie tu

    Jibu

    Timu yoyote aende tyu popote kambi

    Jibu

    Barcelona hawaeleweki

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Messi namkubal

    Jibu

    Habari njema Sana

    Jibu

    Asant kwa taarifa meridian bert

    Jibu

    Habari hipo vizuri

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Inaonekana barca awawezi bila messi

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Messi mtu mbaya

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Mess badili upepo

    Jibu

    Nmeelewa sana

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

Acha ujumbe