Tetesi zinasema Tottenham wamepanga kumsajili mshambuliaji wa Southampton na England Danny Ings, 28.
Meneja wa Southampton Ralph Hasenhuttl anasema hali ya kifedha ya klabu hiyo inamaanisha kuwa hawataweza kuongeza mshahara wa wachezaji muhimu kama vile Ings.
Tetesi zinasema Mshambuliaji wa Inter Milan na Ubelgiji Romelu Lukaku, 27, hana haja ya kujiunga na Manchester City.
Tetesi zinasema Liverpool na Tottenham wanaangalia uwezekano wa kusajili kiungo kinda wa kati wa Inter Milan Muitalia Nicolo Barella, 23.

Liverpool na Barcelona bado hawajakata tamaa ya kusaini mkataba na mlinzi wa Bayern Munich na Austria David Alaba, 28, licha ya kwamba Real Madrid wanakamilisha mkataba naye.
Tetesi zinasema Manchester United wanaandaa dau la pauni milioni 11 kwa ajili ya mchezaji wa safu ya ulinzi ya Lens na Argentina Facundo Medina, 21.
Tetesi zinasema Nice wameacha nia yao ya kumchukua kiungo wa kati wa Manchester United na England Jesse Lingard, 28 kwa mkopo.

Kiungo wa kati wa Tottenham na England Dele Alli, 24, anaimani kuwa atasaini mkataba wake wa kuhamia Paris St-Germain katika kipindi cha dirisha la uhamisho mwezi Januari .
Arsenal wameambiwa kuwa kiungo wa safu ya kati wa Argentine Emi Buendia, 24, ataondoka katika Norwich City wakati wa kipindi cha dirisha la uhamisho wa wachezaji.
Pokea mualiko wa Meridianbet na Pragmatic Play kutengeneza mkwanja kwenye kasino ya mtandaoni sasa. Jiunge sasa kupata ishindi huu.



Magdalena
Spurs waweke mkwanja wamchukue kijana
Rahmal
Tetesi ziko poa
Lydia Emmanuel Magoti
Habari hiko poa
Dorophina
Danny jembe Tottenham wasiyumbe hapo
Sarah
Tetesi ziko poa
Hopemwaikuka
Man u mkimchukua medina itakua poa sana
Adelta
Tetesi ziko vizuri
Angelina
Nice update
felister
tetesi zimetulia
Neema juma
Tetesi ziko poa
Ester mmakasa
Manchester United wanatakiwa wafanye kweli kukamilisha dhamira yao .
Janeflora malisa
Safi
Shakila mrope
Habari njema
Venerose
Good news
Sabrina
Imetulia sana