Tetesi zinasema Klabu ya PSG inajipanga kumsajili mshambuliaji wa Liverpool na Misri Mohamed Salah, 28, endapo mshambuliaji wao tegemezi Kylian Mbappe ataamua kutokuongeza mkataba wake.

Tetesi zinasema Kiungo wa PSG na Ujerumani Julian Draxler, 27, amekubali kuongeza mkataba wa mwaka mmoja na klabu hiyo kabla ya mkataba wake wa sasa kufikia tamati mwishoni mwa msimu.

Klabu ya Watford ambayo ipo mbioni kupanda katika Ligi ya Primia ipo katika mazungumzo ya kumsajili mshambuliaji wa Colombia Rafael Borre, 25, ambaye mkataba wake na miamba ya Argentina klabu ya River Plate unafikia tamati mwishoni mwa msimu.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet
Bruno Fernandez

Kiungo wa Ureno Bruno Fernandes anatarajiwa kupatiwa mkataba mpya ambao mshahara wake utapandishwa mara mbili kufikia pauni 200,000 kwa wiki na klabu yake ya Manchester United baada ya fainali ya Kombe la Europa.

Kocha wa Crystal Palace Roy Hodgson anaamini kuwa klabu hyo itambakiza kiungo raia wa England Eberechi Eze, 22, kwa msimu wa 2021-22 licha ya mchezaji huyo kuvivutia vilabu mbalimbali.

Tetesi zinasema Manchester United wanaandaa ofa ya pauni milioni 80 ili kumsajili winga wa England anayechezea miamba ya Ujerumani klabu ya Borussia Dortmund, 21.

Tottenham wamemuonya kocha wao wa zamani Jose Mourinho asijingahaishe kujaribu kuwasajili beki wa England Eric Dier, 27, na kiungo wa Denmark, 25, Pierre-Emile Hojbjerg mara atakapoanza kuinoa klabu ya Roma mwishoni mwa msimu.

 

Hofu ya Levy Imemtimua Mourinho

Tetesi zinasema Klabu ya Lyon could inaweza kutuma ofa ya usajili kwa klabu ya Atletico Madrid ili kumnasa beki wake Mbrazili Renan Lodi, 23.

Klabu ya Inter Milan itapokea ofa za usajili kwa kiungo Arturo Vidal, 33, kama sehemu ya mpango wa klabu hiyo kupunguza mishahara, na japo klabu Marseille imehusishwa na kutaka kumsajli raia huyo wa Chile, hakuna maombi rasmi yaliyotumwa.


Pesa Ipo Hapa Katika Kasino ya Lucky Lucky.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

7 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa