Tetesi za Soka Barani Ulaya.

 

Tetesi zinasema, Manchester United inapanga kumuachilia kiungo wa kati Mfaransa Paul Pogba, 28, aondoke, huku akiwa na uwezekano mkubwa wa kwenda Real Madrid.

Kiungo wa kati wa Manchester United na England Jesse Lingard huenda akawa njiani kuelekea West Ham katika mwezi wa Januari kwa mkataba wa pauni milioni 10.

Tetesi zinasema, Manchester United wanataka kumsajili mchezaji wa klabu ya Atletico Madrid Kieran Trippier wakati wanajiandaa kumuuza Diogo Dalot, 22, kuelekea Roma.

 

Atletico Madrid

Tetesi zinasema, West Ham wanataka kumsajili beki wa Ujerumani na Hertha Berlin Niklas Stark, mwenye umri wa miaka 26.

Meneja wa Burnley Sean Dyche anasema beki James Tarkowski, 28, ana mawazo na malengo ya kusalia klabuni hapo licha ya tetesi kumuhusisha na klabu za Newcastle, West Ham na Tottenham.

Tetesi zinasema, Arsenal wameafiki mkataba wa kumruhusu kiungo wa kati Misri Mohamed Elneny, 29, kwenda Galatasaray.

Winga wa Chelsea Christian Pulisic huenda akaelekea Liverpool kwani muda wa mchezo anaopewa Mmarekani huyo katika timu hiyo unaendelea kuwa mfupi Stamford Bridge.

 

Tetesi zinasema Tottenham wameonyesha nia ya kumsajili kiungo wa kati wa Bayern Munich na Ufaransa Corentin Tolisso.

Chelsea wanajiandaa kumsajili kiungo kinda wa Barcelona mwenye umri wa miaka 17 Gavi. Mhispania huyo ambaye mkataba wake unaendelea hadi 2023, ameondoa kipengele cha kumuachilia cha pauni milioni 42.


WIKI NJEMA NA CRAZY TIME CASINO!

Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.