Thiago Alcantara Kukosa Mechi Mbili

Thiago Alcantara kukosa mechi ya Norwich na Brentford kutokana na majeruhi aliyoyapata katika mechi Crystal palace jumamosi na liverpool kuibuka na ushindi wa 3-0.

Kocha msaidizi wa Pepijn Lijnders amefichua kuwa baadhi ya viungo kadhaa watakosa kusafiri na timu kwenda Carrow Road kwenye mchezo wa Carabao cup.

Thiago Alcantara
Thiago Alcantara

Liverpool wamethibitisha kuwa Thiago hatakuwepo kwenye mechi mbili zijazo ambazo ni Norwich na Brentford, wakati wakitoa taarifa kuhusu ugonjwa wa Trent Alexander-Arnold ambaye anaendelea kupata nafuu.

Thiago Alcantara ambaye  amecheza mechi nne kwenye msimu na Liverpool huku mechi yake ya mwisho Liverpool wakishinda 3-0 dhidi ya Crystal Palace katika dimba la Anfield jumamosi, ambapo Thiago ilibidi atolewa dakika ya 62 na nafasi yake kuchukuliwana Naby Keita.


FUNGA BAHATI YAKO NA MERIDIANBET.

Ni wakati wa ushindi mkubwa ukiwa na kasino bomba ya Lock a Luck, meridianbet wanakupa sababu ya ushindi, funga bahati yako ya ushindi ukiwa na mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe