Kocha wa klabu ya Chelsea Thomas Tuchel hakufurahisha na kitendo cha watu kucheka kutokana na rekodi ya mshambuliaji wake Romeu Lukaku ya kugusa mpira mara saba tu kwenye mchezo aliyocheza dakika tisini.

Lukaku aliweka rekodi hiyo kwenye mchezo dhidi ya Crystal Palace siku ya Jumamosi ambapo Chelsea walifanikiwa kuibuka na ushindi mwembamba  wa 1-0.

Tuchel

Thomas Tuchel alipoulizwa atamsaidiaje mshambuliaji huyo ili aweze kugusa mpira mara nyingi alijibu, “data zipo pale na data zinazungumza lugha fulani, hakujihusisha sana mchezoni, muda mwingine inatokea hii kwa washambuliaji, ikiwa watakuwa hawajiamini.

“Sio ambacho tunataka au lukaku anataka lakini sio muda wa kumcheka na kumtania, japo yeye yupo kwenye spotlight, lakini sisi tutamlinda.”

Kwa sasa klabu ya Chelsea inajiandaa kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa Ulaya, ambao utachezwa siku ya kesho jumanne kwenye la Stamford Bridge, Chelsea wanawakaribisha klabu ya  Lille kwenye mchezo wa kwanza wa 16 bora.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa