United: 2022/23 Tiketi Zimeisha.

Ama kweli, mkubwa ni mkubwa. Licha ya kuwa na msimu mbovu 2021/22, Manchester United imeshauza tiketi zote za msimu ujao, 2022/23.

Old Trafford ni uwanja mkubwa zaidi Uingereza unaomilikiwa na klabu. Ukiwa na uwezo wa kubeba watazamaji 74,000, Man United mara zote inawekaga tiketi zaidi ya 50,000 kwa ajili ya mashabiki wanaonunua tiketi za msimu mzima.

Ikiwa ni jana tu msimu umeisha na leo Erik Ten Hag kuanza majukumu yake rasmi kama kocha mkuu wa United, klabu hiyo imetangaza kumaliza mauzo ya tiketi kwa mashabiki wanaonunua tiketi za msimu mzima.

United

Hii ni nguvu ya ajabu ambayo, mashabiki wa klabu hiyo wamekua nayo wakionesha mapenzi makubwa kwa timu yao licha ya kuwa katika nyakati ngumu kwenye kupata matokeo.

2022 ni mwaka wa 9 toka The Red Devils walipotwaa taji la EPL na, hata hivyo ukame wa makombe umeendelea toka Sir Alex Ferguson alipostaafu kuiongoza klabu hiyo. 2022/23 utakua msimu wa aina gani chini ya Ten Hag?


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.