Mlinda mlango namba moja wa klabu ya Bayern Munich Manuel Neuer amesaini mkataba mpya ambao utamuweka kwenye dimba la Allianz Arena hadi mwaka 2024

Manuel Neuer alijiunga ba klabu ya Bayern Munich kwenye majira ya kiangazi  mwaka 2011 akitokea klabu ya Schalke 04 na ameisaidia klabu hiyo kushinda makombe kumi ya ligi kuu ya ujerumani mfurulizo Bundesliga, makombe matano ya DFB-Pokal na ubingwa wa ulaya mara mbili.

Manuel Neuer

Manuel Neuer akiwa na timu ya taifa ya ujerumani amefanikiwa kuchukuka ubingwa wa dunia na pia kushikilia rekodi ya kipekee ya kucheza michezo 47 pasipo kuruhusu goli .

 “Manuel Neuer ni mchezaji ambaye ameihakikisha historia ya FC Bayern salam, tuanjianda kwa misimu mingine inayokuja na golikipa bora duniani kwenye lango letu,” raisi wa klabu ya Bayern Herbert Hainer waraka wake ulisomeka.

“Nina furaha safari yangu kuendelea FC Bayern, tutakuwa na timu bora tena ambayo inaweza kucheza kwenye mashindano yoyote. Kama golikipa  kapteni na kiongozi, nataka kuwa sehehumu kubwa ya mchango na kuwa sehemu muhimu wa malengo.

“Tunataka kuendeleea rekodi yetu na kushindana tena kwenye  DFB Cup na ligi ya mabingwa ulaya.” Alisema Manuel Neuer


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa