Manuel Neuer Aweka Rekodi Bundesliga.

Kumekucha kwenye ligi soka nchini Ujerumani, golikipa wa Bayern Munich – Manuel Neuer ameweka rekodi kwenye ligi ya Bundesliga.

Kwa mara ya kwanza kwenye maisha yake ya soka, Manuel Neuer ameruhusu kufungwa magoli katika mechi 10 mfululizo.

Neuer amecheza Bundesliga kwa miaka 15 sasa na hajawahi kuruhusu goli kwa michezo 10 mfululizo, huu ni msimu mbaya zaidi kwa golikipa huyu mwenye umri wa miaka 34 kwa sasa.

Wachezaji wa Borussia Mönchengladbach wakifurahia ushindi dhidi ya Bayern Munich.

Bayern Munich walianza mchezo dhidi ya Borussia Mönchengladbach kwa kuongoza 2-0 kabla ya Mönchengladbach kupindua meza na kushinda kwa magoli 3-2.

Mara ya mwisho Bayern Munich kutoruhusu kufungwa goli ilikuwa Oktoba 24, 2020 waliposhinda 5-0 dhidi ya Eintracht Frankfurt.


JIUNGE NA FAMILIA YA MERIDIANBET BURE!!!!

Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??

BOFYA HAPA

20 Komentara

    Bayern Munich wanamkubali sana golikipa wao

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki

    Jibu

    Safi sana kazi nzuri

    Jibu

    Umri umemtupa mkono Bayern wajiandae kwa Plan B

    Jibu

    Habari nzuri kwamashabiki

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    duuh

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Katishaaa

    Jibu

    Big up kwao

    Jibu

    Habari nzuri sana

    Jibu

    Pongezi kwake manuel

    Jibu

    Kazi nzur na Safi Sana.

    Jibu

    Kipa bora

    Jibu

    Manuel awaachie vijana sasa

    Jibu

    Safi sana kwake.

    Jibu

    Hongera

    Jibu

    kafanya sana poa dogo

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.