Wachezaji 25 wa kikosi cha Simba watasafiri leo jioni kwenda Khartoum, Sudan kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya Al Merreikh.
Simba itacheza na Al Merreikh ya Sudan katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Kundi A mzunguko wa tatu huku wakiwa vinara kwenye kundi hilo baada ya kuichapa AS Vita na Al Ahly katika mechi za awali.
Ni Muda wa Kuvuna Mkwanja na Jungle Jim and the Lost Sphinx
Hauihitaji kufikira mara mbili ni mchezo gani utakupatia mkwanja ndani ya kasino za Meridianbet. Jiunge sasa ufurahie Jungle Jim and the Lost Sphinx.
Simba itacheza na Al Merreikh ya Sudan katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Kundi A mzunguko wa tatu huku wakiwa vinara kwenye kundi hilo baada ya kuichapa AS Vita na Al Ahly katika mechi za awali.
Mungu awape moyo wakujituma kwenye mchezo wao huo utakao chezwa taree 6 kutuletea eshima nchi yetu
Kila lakheri simba
Mungu awatangulize chama langu
Mwenyezi mungu awasimamiye waje na ushindi
Simba tuna imani ushindi wetu
Kila la kheri kwao
All ze best
Good
Kila la kheri
Kila la kheri simba