Hakika kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake. Wachezaji wa Manchester United kuambulia makato makubwa kwenye mishahara yao msimu ujao.

Sheria ni msumeno, unakata pande zote. Hivi ndivyo Ed Woodward alivyoiweka mikataba ya wachezaji wengi wa Man United. Pengine ni kipengele ambacho walikichukulia kirahisi kwenye mikataba yao lakini, sasa kinakwenda kufanya kazi yake.

Inasemekana, mikataba ya wachezaji wa Manchester United imewekewa kipengele cha kuwakata mishahara kwa 25% endapo timu hiyo itashindwa kufuzu kucheza Ligi ya Mabingwa.

wachezaji, Wachezaji United Kukatwa Mishahara 25%, Meridianbet

Hii inamaana kuwa, United hii ya msimu huu, imeshajihakikishia kutocheza UEFA msimu ujao na hivyo, kipengele hiki kinakwenda kufanya kazi yake iliyokusudiwa kuanzia msimu ujao.

Mwenye nacho ataongezwa na asiyekua nacho atanyang’anywa. Mishahara haifanani kwa kila mchezaji, wenye vitita virefu pengine hawatoumia sana na makato haya lakini, wenye mishahara ya chini/kati, wapo kwenye hati hati ya kuwa na mishahara midogo zaidi kuanzia msimu ujao.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa