Mchezaji wa kimataifa wa Ujerumani anayekipiga kwenye klabu ya Bayern Munich Thomas Muller amejiweka kitanzi cha kusalia kwenye klabu hiyo hadi mwaka 2024 ambapo awali mktaba wake ulikuwa unaisha majira ya kiangazi yajayo.

Klabu ya Bayern Munich imethibisha kumsainisha Thomas Muller mkataba ambao utamuweka kwenye dimba la Allianz Arena mpaka 2024, huku mkataba wake wa awali ilikuwa ukimalizika majira ya kiangazi msimu ujao.

Thomas Muller, Thomas Muller Asaini Mkataba Mpya Utakaomuweka Bayern Hadi 2024, Meridianbet

Bayern Munich wamefanikiwa kuchukua ubingwa wa Bundesliga msimu huu, ukiwa ni bingwa wa kumi mfurulizo , huku Thomas Muller ukiwa ni ubingwa wake wa kumi na moja akiwa ni mjerumani pekee aliyechukua mara nyingi kwenye historia ya nchi hiyo.

Thomas Muller alijiunga na timu ya Bayern Munich akiwa na miaka 10, na maefamikiwa kuiwakilisha yimu hiyo kwenye timu za umri mbalimbali, mpaka pale alipopata nafasi ya kucheza timu ya wakubwa mwaka 15 august 2008 chini ya kocha Jurgen Klinsmann.

Muller mwenye miaka 32, msimu huu amefanikiwa kufunga magoli 12 na kusaidia kupatikana kwa magoli mengine 25, pia amecheza michezo 43 msimu kwenye mashindano yote mpaka sasa.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa