Kocha wa klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti amethibitisha  kusudi lake la kutaka kustaafu kufundisha baada ya muda wake wa kuinoa klabu ya Real Madrid.

Kocha mwenye asili ya Italia ameweka kumbukumbu ya kuwa kocha wa kwanza kuweza kushinda makombe ya ligi kuu kwenye ligi tano bora barani ulaya baada ya kuingoza klabu ya Real Madrid kuchukua ubingwa wa ligi kuu ya Hispania La liga siku ya jumamosi baada ya kuifunga klabu ya Espanyol kwa goli 4-0.

Carlo Ancelotti
Carlo Ancelotti

Carlo Ancelotti pia ni miongoni mwa makocha watatu ulaya ambao wamefanikiwa kushinda kombe la ulaya mara tatu. Kocha huyo mwenye miaka 62 amatumia msimu wake wa pili.

Alipoulizwa kuhusu ni lini anatarajia kustaafu, “baada ya Real madrid, ndio, hakika nitastaafu,” Carlo Ancelotti aliimbia prime.

“Kama klabu itanihitaji hapa tena kwa miaka 10, nitawafundisha kwa miaka 10. lakini ningependa kuwa na wajukuu wangu, kwenda kwenye mapumziko na mke wangu. kuna vitu vingi unaviacha unapochagua kazi hii.

“Sijawai kutembelea Australia, sijawai kutembelea Rio de Janeiro. ningependelea kumtembelea dada yangu mara kwa mara. Kwa bahati mbaya, siwezi kufanya hivyo sasa, siku nitakopo staafu mitaweza kufanya haya mambo mara kwa mara.”


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa