Arsene Wenger kocha wa zamani wa Arsenal ameipa nafasi nafasi timu hiyo kugombea ubingwa msimu huu katika ligi kuu ya Uingereza msimu huu baada ya kupita miaka mingi.

Klabu ya Arsenal imefanikiwa kuanza vizuri msimu huu katika michuano yote ambayo imeshiriki baada ya kushinda michezo saba na kufungwa mchezo mmoja ikiwa ni ishara nzuri katika kuutafuta ubingwa msimu.

wengerWenger pia amemsifu kocha wasasa wa klabu hiyo muhispaniola Mikel Arteta kua amerudisha heshima na utambulisho wa klabu hiyo kutoka kaskazini mwa Uingereza.

Kocha huyo mwenye mafanikio zaidi klabuni hapo ameeleza kua timu hiyo ina nafasi ya kupambania ubingwa msimu huu kwani haoni timu iliyotawala ligi hiyo msimu huu.

Wenger ameendelea kusisitiza msimu huu timu hiyo ina nafasi ya kuweza kufanya jambo zaidi huku matumaini yake yakiwepo kwa Arteta ambaye anaamini anapambana kurudisha heshima na thamani ya timu hiyo kwani amewahi kua pale na kua nahodha wake na anaujua utamaduni wa timu hiyo hivo anapambana kurudisha heshima ya timu hiyo iliopoteza ubora wake kwa muda mre

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa