Liverpool wanaripotiwa kuwa sasa hawataweza kutemana na Xherdan Shaqiri kwenye dirisha la uhamisho la mwezi Januari.
Nyota huyu raia wa Switzerland alikuwa anatarajiwa kuwa yupo mbioni kuondoka Anfield mwezi huu baada ya kuwa na mda mchache wa kucheza kwa msimu wote, akiwa ameanza katika mechi mbili tu kwa msimu huu.
Hata hivyo, kwa mujibu wa chanzo kimoja cha habari za michezo cha Uswiswi, Liverpool wanajiona kama wamebanwa na athari za corona na klabu haipo katika mazingira ya kumuacha aondoke kwa sasa.

Xherdan Shaqirianatarajiwa kuendelea kuwepo Merseyside msimu wote wa 2020-21 na huenda akapata fursa zaidi ya kucheza kwenye nusu ya pili ya kampeni.
Hata hivyo hakuna taarifa kubwa sana za Uhamisho pale Liverpool, na Jurgen Klopp wiki iliyopita alisema kuwa kuna asilimia kubwa zaidi kuwa hatasaini mchezaji yeyote mpya kabla ya dirisha kufungwa mwezi Februari.
Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??



Samira
Habari njema kwa Liverpool
Adelta
Ni vizuri azidi kubaki
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri sana
Shakila mrope
Good New
Rahmal
Safi sana
Gabriel
Nice upadate 👍
Magdalena
Inapendeza sana
warda
Herdan angeondoka tu kakaa sana Liverpool
Sania
Good
Neema juma
Ni vizuri sana
Tatu
Safi
Sabrina
Safi sana endelea kupiga kazi kaka
Caroline
Safi sanaaa
Asia Abdy
Safii
Dorophina
Ni bora alivyohamua kubaki hapo hapo
Saupha mohamed
Nice
Angelina
Good news
Issa
Shaqir anajua
Hopemwaikuka
Fresh sana
Sarah
Good news