Kumnasa Jack Grealish, United Watahitaji Takribani £90m

Manchester United wanahitaji kujiandaa kuwa tayari kutumia £90m kama wakihitaji kuinasa saini ya Jack Grealish kutoka Aston Villa.

Nyota huyu mwenye uraia wa Uingereza bado anaendelea kuhusishwa na uhamisho wa kutimba Old Trafford licha ya United kuamua kumsajili Donny van de Beek i msimu wa joto uliopita.

Grealish amekuwa kwenye fomu nzuri sana pale Villa msimu huu, akiwa ametoa jumla ya asisti na magoli 15 kwa pamoja kwenye mechi zake 15 za Ligi ya Uingereza alizocheza msimu huu.

Grealish

Aston Villa wanatambua na kukubaliana na ukweli kuwa nyota huyu wa miaka 25 atashawishiwa kwenda sehemu nyingine, lakini vyanzo vinasema watahitaji kuruka kiunzi cha dau kubwa kuinasa saini yake.

Grealish alisaini mkataba mpya na Villa mwezi Septemba mwaka jana, na mkataba wake wa sasa utashuhudia akiendelea kuitumikia klabu hiyo hadi mwisho wa kampeni ya 2024-25, ikiwa hatakamilisha uhamisho wowote.

Paul Dyabala kutoka Juventus pia anatajwa kuwa kwenye malengo ya Manchester United, hata hivyo mpango huu wa Ole Gunnar unaonekana kutokuwa na matumaini ya kufanikiwa katika dirisha hili la Januari.


 

JIUNGE NA FAMILIA YA MERIDIANBET BURE!!!!

Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??

BOFYA HAPA

18 Komentara

    Utd wakaze wamchukue maana ni kiungo bora atasaidia sana

    Jibu

    Wakikaza nakititachapesa kikikamilika Amna shida tutamnyaka tuuu kilakitu pesa tuuu hapo

    Jibu

    Yetu macho tuangalie

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Watafute pesa kila kitu kitakuwa sawa

    Jibu

    Jaman man u hawanahela msimu huu hatar

    Jibu

    Mtihan sana pesa ndefu

    Jibu

    Kwa Man u watampata tu

    Jibu

    Hapo mchezo pesa

    Jibu

    Wamwage pesa

    Jibu

    Man u wajipange wamchukue jeshii huyo

    Jibu

    Pesa madafu

    Jibu

    Jack yupo vizuri tatizo man u mfuko wao unasemaje

    Jibu

    Mpango pesa tu

    Jibu

    Man u lazima wamnase

    Jibu

    Graelish ni moto sana

    Jibu

    Man atushndw jambo

    Jibu

    Mambo yapesa tu hapo

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.