"Bila Mashabiki ni Zaidi ya Kudansi na Dada Yako

Ladha ya soka imebadilika kwa wachezaji kipindi hiki wakiwa wanalazimika kucheza soka bila mashabiki. Meneja wa timu ya taifa ya Hispania, Luis Enrique ameamua kutoa ya moyoni kuwa kucheza mechi kwenye uwanja usio na mashabiki inahuzunisha sana, ni zaidi ya kucheza mziki na dada yako kabisa!

Wewe unaweza kudansi? Vipi unaweza kudansi na dada yako? 🙄 eenh kama ndiyo, unajisikiaje ukifanya hivyo? Kama unafurahia basi hauko ukurasa mmoja na Luis Enrique! Kwa Enrique kudansi na dada yake inaboa, inahuzunisha siyo kidogo lakini soka kwenye uwanja mweupe ni zaidi ya huzuni hiyo!

Bundesliga inaendelea bila mashabiki uwanjani, kama baadhi ya ligi zingine zinazoendelea. Wachezaji nao na makocha wanatakiwa kupeana nafasi hata kwenye mabenchi ya ufundi.

"Bila Mashabiki ni Zaidi ya Kudansi na Dada Yako
Luis Enrique, Meneja wa Timu ya Taifa Hispania

Shangwe za kufunga magoli pia zinatakiwa kuzingatia umbali kati ya mchezaji mmoja na mwingine. Hakuna kurukiana hapa. Unaweza kujifikiria wewe ukiwa uwanjani, uwanja umepoa bila amsha amsha, kiuhalisia ladha inapungua, kama wimbo biala sauti au? 🤭

 “Inaboa sana, nimeangalia mpira wa Ujerumani na ni malamishi. Unaweza kusikia matusi ya wachezaji na kupoteza radha ya kufahia mda huo. Kucheza mechi bila mashabiki inasikitisha kuliko kudansi na dada yako” -Luis Enrique 

Ulimwengu wa soka kwa pamoja, kama wadau katika sekta zingine unaomba hali irejee katika ukawaida wake, watu waendelee kufurahia ladha waliyoizoea. Na wale wa kubeti, tuendelee kufurahia mida ya kubeti inapowadia, kama hapa manzese mida ya kubeti hatuna masiala nayo kabisa, ni mikeka tuu!

52 Komentara

    Kweli inaboa maana mashabiki wanakuja na hamasa kubwa uwanjani ile nguvu yao ya kushangilia inatoa hamasa kubwa kwa wachezaji

    Jibu

    Wanasema mashabiki ni mchezaji wa 12 kwa timu,kuhamasisha na kuwapa morali wachezaji. katika hali ya ugonjwa wa Corona kipaumbele ni maisha ya watu.Enrique katisha sana #meridianbettz

    Jibu

    Hakuna jinsi zaid ya kukubaliana na hali halisi

    Jibu

    Yatupasa tuwe wavumilivu katka kipindi hiki cha korona…

    Jibu

    Daah nikweli bila mashabiki hainogi,ila hakuna jinsi,iwe hivyo tu.

    Jibu

    Haina jinsi tukubali kutokana na hali ilivyo

    Jibu

    Hakuna namna

    Jibu

    Kweli kabisa kutokana na hili tatizo la ugonjwa wa corona hatuna budi kufanya hivyo

    Jibu

    Sawa na shughul kubwa then hakuna wahusika yaan hainogi kabisa

    Jibu

    Ni sawa na pilau bila kachumbali kabisaaa

    Jibu

    Kweli mashabiki wana motisha yao kwa wachezaji

    Jibu

    duuh

    Jibu

    Duuh hii sio nzuri maana mpira bila mashabiki nisawa na kucheza music peke yako

    Jibu

    Ni kweli mashabiki wanaleta amsha amsha uwanjani na kufanya wachezaji wanapata amasa ya kucheza kwa bidii

    Jibu

    Inabidi tukubaliane na hari harisi.ili kuepuka na haya maambukizi ya virus.ila ni vizur na ipo siku tutasahau yote tulikopitia hatimaye kwenye michezo yetu mashabiki kama kawaida

    Jibu

    na inawezekana vp mechi bila mashabiki #meridianbettz

    Jibu

    Duuuuh

    Jibu

    Hii ni shida kucheza mechi bila mashabiki ili inakuwa ainajinsi

    Jibu

    Ni kweli soka linapoteza radha bila mashabiki maana wachezaji wengi wanapenda kufanya kitu uwanjani alafu kuona shangwe kutoka kwa mashabiki, wanaitwa wazee wa kucheza na jukwaa, pia inapunguza mzuka wa kukipiga bila mashabiki.

    Jibu

    Kweli kabisaaa

    Jibu

    Soka litapoteza radha bila mashabiki ila hakuna namna itabidi iwe ivyo maana huu ugonjwa ni hatari sana

    Jibu

    Nikweli kucheza soka bila mashabiki aipendezi ndoishakuwa Sasa akunakipingamizi corona imetuletea wakati mgumu Sana akuna jinsi

    Jibu

    Kweli kabisa mashabiki ndio tunatiaa moral ya wachezaji kucheza kwa ufanisi mkubwa hata kusababiasha matokea mazuri uwanjani kukiwa hakuna mashabiki sawa na kazi bure hawawezi kuhamasika

    Jibu

    Dah huyu jamaa kawaza nini hadi katamka ivii?

    Jibu

    kuhamasisha na kuwapa morali wachezaji. katika hali ya ugonjwa wa Corona kipaumbele ni maisha ya watu. #meridianbettz

    Jibu

    Usiniumizie lazma ziwepo ili kuchangamsha soka haswa wakiwa watoto wakike kwa wingi ndo inanoga Sana unaweza kupiga chenga ambayo hata ijawahi kupgwa duniani

    Jibu

    Kwa kwelii hii ni kweli kabisaa

    Jibu

    To be honesty mashabik wana raha yake uwanjan

    Jibu

    Mpo vizuri kwa habari za michezo# meridianbettz

    Jibu

    mashabiki ndo wanawapa moral wa kucheza wachezaj lkn kutokana na ili janga tulionalo hatuna jinsi inabd wacheze tu bila mashabiki ijapokua hainogi

    Jibu

    luis umesema kweli kucheza mechi bila mashabiki akunogi

    Jibu

    Duuuh atar saana jamani

    Jibu

    Too much treatments za razima ambazo ni muhimu kufuatwa ila ndio zinapelekea mpira kutokuwa na radha kabisa yan

    Jibu

    Ni kwel ila hamna namna

    Jibu

    Inaboa bwana maana shabiki anakupa morari ya kucheza vizuri pale unapokuwa unacheza mpira uwanjani
    #meridianbet

    Jibu

    Nikweli hamna jinsi

    Jibu

    Hakuna jinsi

    Jibu

    Ndo ishakuwa hivyo tena#Meridianbettz

    Jibu

    Hakuna jinsi inabidi kukubaliana na Hali tu.

    Jibu

    Tuvumilie tu

    Jibu

    Duh thanks meridian bet kwa information

    Jibu

    Yuko sahihi kabisa

    Jibu

    Kiukweli mashabiki wanaleta ladha fulani katika soka sasa wanapokosekana inapunguza utam fulan kiwanjan

    Jibu

    Duh imesikitisha sana raha mpira uwanjani kuwepo na mashabiki

    Jibu

    Ni sahihi

    Jibu

    Mashabiki wana umuhimu sana

    Jibu

    Kwer siyo Poaw Yaani bila mashabik haina vibes

    Jibu

    Hakuna namna

    Jibu

    Asante meridianbet #kwa taarifa

    Jibu

    Yupo sahihi lakini kwa ukubwa wailigojwa bora wacheze bila mashabiki

    Jibu

    Ni kweli lakini hakuna jinsi itabidi iwe ivo

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.