Mshambuliaji wa klabu ya Borussia Dortmund na timu ya taifa ya Ujerumani Youssuf Moukoko amesema anafurahia kubakia kwa miamba hiyo ya soka la Ujerumani.
Kinda huyo mwenye umri wa miaka 17 amezungumza hayo wakati mkataba wake ukiwa unaoelekea ukingoni na kusema “Ninajiskia amani kua hapa, Naipenda timu na ningependa kuendelea kuwepo hapa”Amezunngumza hayo akikiambia chombo kimoja nchini Ujerumani.
Moukoko yeye anaeleza anachoangalia na mradi mzuri ambao utakuepo kwa klabbuni hapo na kama klabu itampatia mkataba mpya kwani yeye binafsi yupo tayari kuendelea kusalia katika viunga vya Signal Iduna Park.
Mchezaji huyo licha ya umri wake mdogo lakini amekua moja ya wachezaji muhimu kwenye kikosi cha Borussia Dortmund msimu huu ameshafunga magoli 10. Hii inaonesha ni kwa kiwango gani Moukoko amekua muhimu kwenye timu hiyo.
Klabu ya Borussia Dortmund imekua na utaratibu wa kuwapa vijana wadogo nafasi kwenye timu ya wakubwa, Na mwisho wanakuja kua wachezaji wakubwa na kuuzwa kwa fedha nyingi kwenda vilabu vingine na huu umekua utaratibu wa miaka mingi.

Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena Cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.

