Van Dijk: Gapko ni Kijana Mwenye Kipaji Kikubwa

Nahodha wa timu ya taifda ya Uholanzi Virgil Van Dijk amemzungumzia kinda wa timu hiyo Coady Gapko kuhusu kuhusishw na vilabu vikubwa duniani.

Kinda Coady Gapko mwenye umri wa miaka 19 ambae anaonekana kufanya vizuri kwasasa baada ya kua na msimu mzuri na klabu yake ya Psv Eindnhoven na sasa akiwa nafanya vizuri na timu ya taifa ya Uholanzi kwenye michuano ya kombe la dunia nchini Qatar.van dijkKinda huyo ambaye alikua anakaribia kujiunga na klabu ya Manchester United mwishoni mwa dirisha la usajili lililopita kwenye majira ya joto. Lakini kwasasa imeonekana vilabu vingi kuvutiwa na mshambuliaji huyo kutokana na ubora ambao amekua akiuonesha.

Van Dijk ameongelea kuhusu tetesi hizo kumhusu Gapko “Gapko kwenda Manchester United au Real Madrid, Manchester na Real Madrid jr zipo kiwango sawa kwasasa? Hakuna kutokuheshimu kabisa”van dijkVan Dijk aliendelea kwa kusema “Gapko ni kijana mzuri, anapambana sana na mwenye kipaji kuna mengi yanakuja kutoka kwake” Beki huyo anaamini mchezaji huyo mwenye mabao matatu mpaka sasa kwenye kombe la dunia ana kipaji kikubwa na hakuna uvunjifu wa heshima yeye kuhusishwa na vilabu kama Real Madrid kwasababu ana kipaji kikubwa na uwezo wake pia unaonekana.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.