Katika mechi 212 za mashindano yote, United wanaongoza kushinda dhidi ya Liverpool, ushindi mara 83 dhidi ya 71, na sare 52.|Ligi Kuu (PL) Liverpool ameshinda michezo 30, Sare ni michezo 14 huku Manchester United 18. Huku Ryan Giggs amecheza mechi nyingi zaidi na Mohamed Salah kinara wa mabao akifunga mara 12.
Baada ya mchezo wa jana kuwa matokeo chanya na hasi kwa kila timu, yaani chanya kwa Liverpool kwani waliandika rekodi nyingine ya kuicharaza Manchester United kwa mabao mengi zaidi ya 7-0. Meridianbet Sports inakuletea rekodi na takwimu za hizi timu tangu zianze kukutana kwa mara ya kwanza mwaka 1894. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

Manchester Utd matokeo ya jana huenda yakamuacha na maswali mengi sana kocha wa Ten Hag, ni wapi alikosea na nini cha kufanya kuelekea michezo mingine iliyosalia ya Ligi.
Katika mechi 212 za mashindano yote, United wanaongoza kushinda dhidi ya Liverpool, wakiwa na ushindi mara 83 dhidi ya 71, na sare 52. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
Rekodi za hivi karibuni katika mechi ya kihistoria ya Liverpool dhidi ya Manchester United, iliwafanya Majogoo warekodi ushindi wa ajabu wa 7-0 dhidi ya vijana wa Erik ten Hag mnamo Machi 5, 2023.
Huo ulikuwa ushindi mkubwa zaidi kuwahi kutokea kwa Liverpool dhidi ya United. Hapo awali walishinda Newton Heath (jina la zamani la United) 7-1 mnamo Oktoba 1895. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
Msimu uliopita, United pia walikuwa kwenye janga la kichapo cha 5-0 kutoka kwa Wekundu hao kwenye Uwanja wa Old Trafford na kichapo cha 4-0 huko Anfield.
Liverpool pia waliwafunga wapinzani wao mabao saba katika ushindi wa 7-4 mwaka 1908.
Rekodi za Kwenye Ligi| Liverpool vs Manchester Utd.
Liverpool ameshinda michezo 30, Sare ni michezo 14 huku Manchester United 18.
Wachezaji waliocheza mechi nyingi zaidi.
Mchezaji wa United Ryan Giggs ndiye anayeshika kijiti kwa wachezaji wote amecheza mechi 48, Paul Scholes mechi 33, huku nyanda nambari moja wa United David de Gea akicheza mara 28, Gary Neville mara 26 na Arthur Albison mara 26.

Wafungaji wa Muda wote kwa Liverpool vs Man Utd
Kinara kwenye chati hii ni mshambuliaji wa Misri na klabu ya Liverpool Mohamed Salah amefunga jumla ya mabao 12, anafuatiwa na George Wall mwenye mabao 9 akifungana na Gwiji wa Majogoo Steven Gerrard,huku nafasi ya nne (4) ikishikwa na Stan Pearson nyota wa United, na wanaofunga chati hii ni George Best, Jimmy Turnbull, Harry Chambers na Dick Forshaw wenye mabao 7. Hakuna nyota wa kizazi hiki cha sasa cha United aliyefunga mabao mengi kwenye mchezo huu. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.

