Mchezaji wa zamani wa Real Madrid Mesut Ozil amemwagia sifa za mchezaji mwenzake wa zamani Karim Benzema baada ya kuwa mchezaji wa kwanza wa Ulaya kufunga hat-trick kwenye El Classico tangu afanye Gary Lineker mwaka 1987. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

Barcelona walikuwa wanaongoza kwa bao 1-0 katika mechi ya kwanza, baada ya kufuzu katika nusu ya Copa del Rey dhidi ya Osasuna. Hata hivyo, licha ya kuwa na mwenendo mzuri zaidi kipindi cha kwanza, walijikuta wakisawazisha kwa jumla ya mabao hadi mapumziko, mkwaju wa Vinicius Jnr ukiwa wavuni. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
Baada ya mapumziko Real Madrid waliendeleza moto wao na kuwasambua vijana wa Xavi, hali iliyopelekea kupata jumla ya mabao 4-0, Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
Mesut Ozil aliandika “Mfalme,Kijana wangu Benzi (Benzema) Nambari 9 bora ya kizazi chetu.”

